Kondom ya Utumbo wa Nguruwe
Nani asiyejua Kondom?
Kondom ya Utumbo wa Nguruwe
Nani asiyejua kazi ya Kondom?
Lakini unajua kifaa hicho ambacho siku hizo husambazwa bure kilianza lini na wapi...
Nimemkuta huyu jamaa mitaa ya Bibi Titi akitembeza kitu ya kuroast.
Lakini kwa hiyo body movement napenda kutoa onyo kwa wanaokula vya barabarani.
Jamaa anajikuna sehemu nyeti halafu ataku-serve...
jamaa hapo kwenye picture alikwenda vitani iraq na akarudi marekani baada ya kufanyiwa shambulizi la kushtukiza na kupoteza miguu yake na mikono yake,ila cha kufurahisha ni jinsi ambavyo mke wake...
Kweli Dunia inakaribia mwisho leo kila kona upitayo makalio ndio yamekuwa kivutio kikubwa vijana hamu ya papa imewatoka siku hizi, baadhi ya kina Dada wana sikikana wakisema kuchukuwa mimba siku...
Mwenge wa uhuru utakesha leo ktk kijiji cha Nkinga Igunga.Umeingia na msafara wa magari ya kifahari yapatayo 20 na mkuu wa wilaya,mkurugenzi mtendaji,wakuu wa idara wote,wakuu wa...
Nimestaajabishwa na kutokuwa makini kwa huyu mama wakati mtoto wake akianguka toka kwenye ki baiskeli bila kujali yeye akionekana akijishughulisha na simu na kuto jali mtoto kabisa!
Msafisha mitaro akitoa uchafu eneo la Mabibo jijini Dar es Salaam jana, bila kutumia vifaa maalum hali ambayo ni hatari kwa usalama wa afya yake. Wafanya usafi wengi wapo katika hatari ya kupata...
Wafanyabiashara wa mboga matunda katika la soko la Mbuyuni mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro, wakiwa wamepanga bidhaa zao pembezoni mwa taka, jambo linalohatarisha afya za wauzaji na wanunuzi wa...
I used to be like this
Then I met a girl
She was like this
Together, we were like this
I gave her gifts like this .
When she accepted my proposal, I was like this
I used to talk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.