Ndallo JF-Expert Member Oct 1, 2010 7,619 4,292 Oct 8, 2012 #1 Not Sure if a pregnant woman should do this, but this is so crazy and scary!
awp JF-Expert Member Jun 6, 2012 1,711 599 Oct 8, 2012 #3 LexAid said: Huyu lazima anatumia Mihadarati! Click to expand... bangi nibangue
Wilbert1974 JF-Expert Member Feb 10, 2011 1,632 478 Oct 8, 2012 #4 Zoezi zuri sana, hasa kwa wale uchungu wao unasusua! Akitoka hapo ni moja kawa moja kujifungua... Angalizo: usifanye hivi kama mimba ni changa.
Zoezi zuri sana, hasa kwa wale uchungu wao unasusua! Akitoka hapo ni moja kawa moja kujifungua... Angalizo: usifanye hivi kama mimba ni changa.
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,323 18,793 Oct 8, 2012 #5 ayaaaaa.....hapo lazima azaliwe Sumo Kid......
Dr.kapama Senior Member Nov 12, 2011 180 34 Oct 8, 2012 #8 Mzima kweli huyu?...kama ni mke namtoa sadaka kanisani...
Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member Apr 22, 2012 15,118 16,470 Oct 8, 2012 #9 Dr.kapama said: Mzima kweli huyu?...kama ni mke namtoa sadaka kanisani... Click to expand... Mzima ndio. Au huko uliko maiti zina uwezo wa ku-prakatumba?
Dr.kapama said: Mzima kweli huyu?...kama ni mke namtoa sadaka kanisani... Click to expand... Mzima ndio. Au huko uliko maiti zina uwezo wa ku-prakatumba?