Kila mtu ameweka pozi lake.
1. JK amedakwa Mkono na Bi. Shosti hapo. Kama vile anagulia maumivu ya kudakwa vile.
1a. Bi Shosti ni kama vile anamwambia "you look so cute and energetic Mr Kikwee"...
WEDNESDAY, NOVEMBER 07, 2012
PROFESA MWANDOSYA NA MZEE KISUMO WAKIWA HOSPITALI INDIA
Waziri wa Nchi Ofisi wa Rais asiye na Wizara Maalum na Mbunge wa Rungwe Mashariki, Profesa Mark Mwandosya...
Mke wa mtu ni sumu ni vibaya sana kumtomasa tomasa mabega mke wa mtu kama alivyofanya DR Kikwete pichani,Dr slaa amfungulia mashtaka ya kumdhalilisha mke wake.Mbaya zaidi waziri maghembe...