ndicho nakiona sasa hivi lazima aukwae hata uwaziri yategemea na fadhila yak aliotoa,BTW huyu mama ni mzuri jamani.Rose kamili! ile kesi yake dhidi ya dk slaa amefuta?? askari wanacheka! rose kamili mbayaaaaaaa! sasa hivi atapewa UDC!
Unataka akuoe wewe?kwani slaa kaoa?
kwani mapadri huwa wanaoaga wanaume wanapoamua kuoa!mbona hii nayo ni taarifa ya namna yake?hebu iweke vizuri.Unataka akuoe wewe?