MBUNGE wa Musoma mjini Vicent Nyerere(Chadema) amemtaka mkuu wa jeshi la polisi nchini (IGP)Said Mwema kuchukua hatua sasa kuhusu mauaji ya kikatili ambavyo yameibuka katika Manispaa ya Musoma na...
Sasa ni miaka 51 ya uhuru wa Tanganyika na yaelekea shida ya maji haina suluhisho. Tumezowea kusikia akina mama wa vijijini wakihangaika kutafuta maji kwa matumizi ya nyumbani lakini pana akina...