Natamani wanaume wateke maji badala ya wanawake!


Jacobus

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
3,877
Points
1,500
Jacobus

Jacobus

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
3,877 1,500
Sasa ni miaka 51 ya uhuru wa Tanganyika na yaelekea shida ya maji haina suluhisho. Tumezowea kusikia akina mama wa vijijini wakihangaika kutafuta maji kwa matumizi ya nyumbani lakini pana akina mama wa Tabora mjini nao ni kama wanaishi vijijini kwa adha ya maji ndio maana naona sasa ni zamu ya akina baba kutafuta maji kwa matumizi ya nyumbani.
IMAG0124.JPG
 

Forum statistics

Threads 1,283,671
Members 493,764
Posts 30,796,443
Top