Boflo, wasemaje kuhusu hili? Muungwana alikuwa sawa au laaaaahhh.....
Boflooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!! Hawa watakuwa paka wa member gani hapa JF? Kwa mbali naona jibu MBUZI MZEE.
Wazee kuna mtu yoyote anaejua mahala ambapo wana pimp magari ya zamani kama hili hapa na ni kwa bei gani?
Naipenda sana nataka niipe sura mpya. Wengine bado kwetu old is more than gold.
Nisaidieni...