Wakati Chadema wakijidhatiti katika kuporomosha matusi makubwa makubwa na kueneza propaganda kama walivyotumwa na wadhamini wao, CCM (Chama Dume) inazidi kuchanja mbuga na kujiimarisha mijini na...
Huyu askari ni mchapa kazi sio kawaida.
Sijui ni nini kinamhamasisha kuwa hivyo alivyo?
Yupo tofauti na askari polisi wengine.
Kuna baadhi wanasema eti 'bolt' moja wapo ya kichwani kwake imelegea...
Maisha ya utafutaji wa mali, Utukufu na Vyeo kama ndio hivi hata siutaki tena
endeleeni wenyewe Mwita Maranya na Ritz nawarudishieni kadi zenu endeleeni wenyewe Dunia imeisha hata kuwa km Bob...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.