Ni enzi za Mwalimu, aliitwa Derek Bryson, pichani ni wa kwanza kushoto. Alipata pia kuwa waziri wa kilimo na ushirika. Ni mwasisi wa mpango wa kutenga viwanja Sinza ikiwamo miundo mbinu kama vile...
E-governance (electronic Governance) ni mfumo wa kiutawala unaotumia njia za mawasiliano kama simu, internet n.k kufikisha huduma kwa wana-nchi kule waliko.
Mfano mwananchi anaweza kulipa...