Urambo enzi hizo (1951)!
Iyo staili ya nywele ya uyo jamaa wa kushoto ilikuwa inaitwa "way" yaani nywele ziachane kama za mzungu vile!
Hata enzi hizo miembe ilikuwa mingi. Waafrica wanachimbua...
Ni picha zilizochorwa na wasanii tofauti tofauti kwa nyakati tofauti kisha kufanyiwa copy na kuuzwa sehemu mbalimbali duniani.
Picha hizi kila mwaka zinaingiza mamilioni kwenye majumba ya...