Haya mimi nimenza kwa lugha ya kiingereza huyu ndege anaitwa jina hili (Francolinus) je kwa lugha kabila lako utamuitaje? Nitapata hapa kamusi ya lugha tuanze kwako!!
Kris Janner Ambae Ni Mama Wa Mwanamitindo Kim Kardashian Kaweka Mambo Hadharani Japo Mwanzoni Kulikuwa Na Uvumi ulioenea Kuwa Ana Mahusiano Na Corey Gamble.
Lakini Kwa Sasa Kila Kitu Kipo Wazi...