Mama Tibaijuka Akifundisha kwa Umakini

Mama Tibaijuka Akifundisha kwa Umakini

idoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
3,051
Reaction score
1,423
editorial-22dec-2014.jpg
 
Mama anasema unamuone wivu tu, shule ya kwake michango ya umma. Karo mili 4 anasaidia wasichana maskini au anaibia taifa na wafadhili?
 
Inabidi niombe kazi ya Uhasibu SHuleni Kwakeeee hata ka ntalipla 250,000 kima cha chini
 
Makabaila wana msemo wao kuwa weka mdomo mahali hela inapo tiririka...

Hawa viongozi wetu wamechagua uongozi kama sehemu ya kukinga midomo yao huko...
 
Back
Top Bottom