Wakati Msanii huyu wa bongo fleva Diamond aka Chibu Dangote amekataa offer ya kumpigia kampeni muheshimiwa fulani inaonekana atakuwa na muheshimiwa huyu katika kampeni zake na uwenda akapatiwa...
Haka kamchezo kana kukumbusha tukio gani ?
Mimi nakumbuka kipindi hiko kuna kabinti fulani hivi alikuwa anapenda kucheza cheza na kuongea na mimi but alikuwa hana pa kuanzia, basi akaenda kuiba...