20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,263
Haka kamchezo kana kukumbusha tukio gani
?
Mimi nakumbuka kipindi hiko kuna kabinti fulani hivi alikuwa anapenda kucheza cheza na kuongea na mimi but alikuwa hana pa kuanzia, basi akaenda kuiba goroli za brother wake tucheze mchezo wa kupunana.
Nikapiga mijoda ya maana, nika mpuna goroli zote hadi madungu ya bro wake.
After hapo ndo kakashtuka,goroli za kaka, halafu bro wake kauzu kinoma akaanza kulia lia nimsaidie, nimsamehe asije pigwa.
Basi tukafanya baishara ya mali kwa mali kwenye shamba la mahindi.
Jingine nilichalazwa sana na mshua, enzi hizo katoka zake kozi yupo likizo home, alinikuta nacheza hii kitu alikuwa hataki, pigwa sana cant forget dat,