Huyu ni mama aliekosa hata sufulia ya kupikia ugari , sasa anatumia bati kupikia chakula hicho kama alivyonaswa na camera yetu uko kijiji cha mission kigoma
JE UNALIKUMBUKA TUKIO HILI???
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ALIWAI KUSEMA MANENO HAYA "ukifanya fujo, unaambiwa usifanye hiki, ukaamua wewe kukaidi utapigwa tu, maana hakuna namna nyingine " SASA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.