Rais Kikwete ameweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa Bandari ya kisasa ya Bagamoyo itakayogharimu dola za Marekani bilioni 10
-Ujenzi huo pia utahusisha ujenzi wa viwanda 1,000
Mh. Magufuli bado yupo Mwanza, na leo hii anaendelea kuzoa kura za wakazi wa Mwanza. Hapa ni Igoma akiwa amezuiliwa na wakazi wa hapo ambao walitaka kumsikia Rais wao wa Tano.
Mh. Magufuli tokea...
Vijana wamekamatwa katika misitu ya mlima Meru na wengine Morogoro wakipewa mafunzo ya kigaidi. Hii ni hatari sana kwa usalama wa taifa letu. Kama kweli watanzania tuna nia njema na taifa letu...
MAGUFULI ASIMAMIA SHOW PEKE YAKE TUNDUMA
Wananchi wamkubali kwa uwezo wake wa kujieleza, sera ,ilani na mipango ya kuleta maendeleo huku akiwa yeye mweyewe bila kuwa na msururu wa watu wa...
Dr. Magufuli kila kona anapo enda kuna Mafuriko ya kufa mtu. Jamani tuseme nini ten zaidi ya kusubiri kumwapisha Rais wetu wa Tano? Hakika huyu ni chaguo la Mungu na hana upinzania Tanzania.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Kigoma mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Kawawa, Ujiji.
Asie kubali kushindwa si mshindani. Hii ni habari mbaya kwa UKAWA baada ya mgombea wao kuonyesha udhaifu mkubwa wa kusimama mbele ya halaiki ya watu na kumwaga sera zake. Hii sio mara yake ya...