Utamaduni wa makanisa yetu mengi sio sisi tu ila sehemu nyingi, Watu Mashuhuri, watoa sadaka kubwakubwa,Wenye pesa, Viongozi wakubwa, watu mashuhuri,wenye ushawishi mkubwa katika jamii Kuwekwa...
Nimeshuhudia mara kadhaa baadhi ya watu wakizinunua hizi shilingi,Huwa hawaelezi kuwa wanazifanyia kazi gani.Sasa wadau ninaomba tusaidiane kung'amua hizi shilingi zina siri gani???.