Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 14,999
Hebu angalia zile ngazi zinaelekea wapiTeh teh..Mtu kasomea kilimo SUA naye anajifanya Mjenzi
Sasa zinaonekana, tena mbaya zaidi hata zile za mwanzo pia zinaonekanaBado zinagoma?
Hii kiboko
Lazima nikwambie tuu, japo kazi itakuwa yangu ila pesa ya udalali itabidi tugawaneUkiwa na kazi ya ujenzi sema nikuletee Injiniaz wa ukweli hao