Kuna SIRI gani hapa???...

dasenior

Senior Member
Jul 24, 2012
138
57
Nimeshuhudia mara kadhaa baadhi ya watu wakizinunua hizi shilingi,Huwa hawaelezi kuwa wanazifanyia kazi gani.Sasa wadau ninaomba tusaidiane kung'amua hizi shilingi zina siri gani???.
 
Attachments

  • 1459490449768.jpg
    1459490449768.jpg
    109.2 KB · Views: 29
BOT walikanusha
Kwamba hazina maana ni madini ya kawaida na kwamba watu wanatapeliwa
Unachozungumza ninaweza kukubaliana nacho,Maana niliwahi kusikia hivyo kuwa zilipigwa stop kutoka baada ya kusemekana zina madini...Ndio hapo sikupata kujua ni madini ya namna gani?
 
Unachozungumza ninaweza kukubaliana nacho,Maana niliwahi kusikia hivyo kuwa zilipigwa stop kutoka baada ya kusemekana zina madini...Ndio hapo sikupata kujua ni madini ya namna gani?
Inavyosemekana hiyo ni silver tupu na ndo maana BOT hawakuendelea kuitoa tena ili kureplace mia tano ya noti ambayo ilikuwa inadaiwa kuchakaa mapema
 
Back
Top Bottom