MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Utamaduni wa makanisa yetu mengi sio sisi tu ila sehemu nyingi, Watu Mashuhuri, watoa sadaka kubwakubwa,Wenye pesa, Viongozi wakubwa, watu mashuhuri,wenye ushawishi mkubwa katika jamii Kuwekwa mbele kabisa ya kanisa. Obama na familia yake wameonyesha tofauti kidogo katika picha hii.
Toa maoni yako.