Angalia nyumba ya kifahari ya Askofu Allan Kiuna iliyopo maneo ya Runda huko nchini Kenya, nyumba hiyo ni gumzo kutokana na uzuri wake, hasa ikiwa na huduma mbalimbali kama ilivyo kwa hoteli za...
Wengi ambao wako mbali na Dar yetu wanafikiri ni daraja tu la kuvuka mkondo wa bahari kumbe pia kuna intechange ya nguvu imejengwa, kama picha inavyoonyesha!