Hawa jamaa mapacha wanne nliwaonaga longtime kidogo kwenye show ya Oprah Winfrey nikashangaa sana, nikaja kuwaona kwenye video ya kanye west Tena washakua wakubwa tayari....
Wakuu leo nimekomaa mwenyewe kibishi kutoa breakfaa magetoni baada ya shemeji yenu kukimbia kisa hawezi maisha ya sukari guru, nikaona sio kesi mi mwenyewe shefa matata my mama taught me a lot of...