Rais Magufuli akiwa kanisani leo asubuhi huko Arusha

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,849
67,285
Nimependa jinsi Walinzi walivyojipanga. Itifaki imezingatiwa.
ar17.jpg
 
Halafu hataki mambo ya kuwekewa kiti chake maalum wala nini, yeye anakaa wanapokaa waumini wengine, huyu mheshimiwa rais kweli hana makuu.

Kondaaaaa;
Kweli weye konda wa boda boda. Kuketi katikati ya waumini waona kuwa ni unyenyekevu?? Wajua ni wangapi walihamishwa hapo? Nadhani ulitamani hata maji yake achote kisimani. Kwa Mungu hakuna uheshimiwa
 
Nyie wavaa visuruali vinavyopepea kama njiwa hamuishi vituko.
Rais alikuwa wa dini yenu bado mkasema anaendeshwa na roma! Na huyu wa sasa mmeanza, khaa!
 
Back
Top Bottom