Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,019
- 159,772
ila cha mtema kuni ulikionaHiyo ajali nilishawahi kuipata ila nilitoka mzima.
Hatari sana sheikhDah nilifikiri ajli hiyo imekukuta wewe Bujibuji.
Me sisemi! - some stories are better remain untold!Hiyo ajali nilishawahi kuipata ila nilitoka mzima.
Naam ni ajali ya uso kwa uso....katika uchumba ni ajali ya kuanguka miguu juuu......katika urafiki ni ajali ya kulala mtama baridi.