Kwa wakuu wapenzi wa wrestling sina shaka huyu kijana mzee wa 619 ni mmoja ya wanamieleka wanaokuvutia. Mbabe huyu ameweza kuteka nyoyo za mashabiki wengi wa mieleka esp. Kwa style yake ya kuvaa...
HUKU AFRICA MWIZI WA KUIBA KIDOGO UPIGWA NA KUTIWA MOTO......HUKU JIZI LA MAMILLION LAPONGEZWA KWA VIFIJO NA VIGELEGELE.
WAAFRIKA BADO TUPO NYUMA KWA KILA KITU............