Kwa wenzetu huko barabara zajisafisha zenyewe full time

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
KWA WENZETU HUKO BARABARA ZAJISAFISHA ZENYEWE FULL TIME.jpg
 
Nimeshuhudia live. Tena huwa no ucju.
1 gari hupita Kwanzaa kukusanya vitakataka
2. Then maji hufunguliwa kuondoa vumbi
 
Hazijisafishi zenyewe, kuna watu wanasafisha sema wanatumia maji na mashine. Wanawasha mashine na kusafisha barabara zikishakuwa safi wanazima. Madhara ya kuzoea fagio za chelewa.
 
Watanzania tunapendana sana, ndio maana hatutaki mashine zitumike kila pahala, tutakuwa maskin wa kutupa kutokana na changamoto za ajira
 
Hiyo sio kusafisha ni kupunguza joto ili barabara idumu muda mrefu
 
Back
Top Bottom