Hellow wanajf za muda mrefu jamvini. Nimewamiss kweli. Sema
nini nilimiss kuandika kwelikweli. Si unajua tena kitaaluma mimi ni mwandishi. Nisipoandika napata homa. Ha ha natania.
Haya turudi...
Teknolojia ya kupandikiza kadi ndogo kwa lengo katika mwili wa binaadamu kudhibiti wizi wa kimtandao imevuta hisia za watu wengi katika maonyesho ya Teknolojia ya Mawasilano ya CeBIT ya mjini...
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 nina tatizo la usikivu hafifu ambalo lilinianza nikiwa na miaka 14 au 15 hivi. Nashindwa kumsikia vizuri mtu akiwa mbali, anaeongea kwa sauti ya chini sana...
Angani kuna makundi makubwa ya nyota ambayo yametapakaa huko anga za mbali kila sehemu ambayo yamefanya hata anga la Dunia yetu lipendeze vizuri sana nyakati za usiku.
Nyota nyingi tunazoweza...
Tahadhari: huu si mjadala wa mashambulizi ya Kidini. Ni mjadala wa kisomi wa kujenga Hoja. Kelele za Dini zenu pelekeni kwingine. Hapa tunataka hoja na uelewa. Sisi wengine hatuna Dini.
1...
Igweeee wana Jamii. Naipongeza sana Jamii forum kuwa sehem ya kila mtu wasilisha mawazo na fikra yake pasipo vunja sheria za nchi na kimataifa.
Mimi leo nimependa kuchambuwa ujasusi wa Nchi za...
Habari watu wangu wa nguvu wa JF..
Siku za hivi karibuni katika pitapita zangu Katika kujisomea somea vitabu mbalimbali nimekuja kugundua kuwa Sisi binadamu tuna nguvu fulani ya asili ambayo...
Wanajukwaa:
Dunia yetu inaendelea kushika kasi katika suala la Sayansi na Tekinolojia.Kwa siku za hivi karibuni,wanasayansi wamegundua kuweza kutengeneza Moyo kwa kutumia stem cells,ikiwa ni...
Binadamu tumekua na tabia ya kulalamika kuhusu kuumizwa, kujeruhiwa na kuaribiwa maisha na watu wetu wa karibu , iwe ndugu, jamaa na marafiki .
Lakini hata siku moja huwezi kukuta mtu anaelezea...
Zelensky na Pro-NATO akili zao wanazijua wao wenyewe aisee...Eti walisherehekea kupewa kifuta jasho cha kilomita za mraba 6,000 sawa na asilimia 4.8 tu, toka kwa kilomita za mraba 125,000...
Hili jambo hushangaza kidogo ila kwa nini wanadamu humpigania Mungu katika nyanja zote.
Toka enzi Mataifa yaliinuka kumpigania Mungu ambaye hajawahi kujipigania mwenyewe.
Angalia issue ya...
Wakuu hamjambo?
Moja kwa moja kwenye mada baada ya kutafakari kwa kina nimekuja na conclusion kuwa huwenda sifa kuu ya Mungu wetu huyu ni Upweke.
Yaani ile Incredible Genius Mind , ile...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (last born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti ndugu zangu watanzania;
(1) Is Africa...
Hello..
Lately I’ve been writing random topics centered on personality traits, this Topic will be serving as a sequel of those Topic. Will focus on other perspective of personalities...
Anglophone Vs Francophone Africa: Harufu ya mpasuko mkubwa wa kisiasa ndani ya umoja wa Africa (AU) baina ya mataifa yanayozungumza lugha ya Kiingereza na yale ya Kifaransa.
Habari za wakati...
Wanandugu wasalaam sana. Ama baada ya yote ashukuriwe muumba wa udongo na viumbe vyote. Pia ni huzuni moyoni mwangu kuisema pole juu ya anguko la Rais wetu mpenzi Dr John Pombe Magufuli bwana...
Huenda Katika kipindi kirefu Cha maisha ya UMILELE(Un-Ending existence) na Mungu mbinguni.Mungu anaweza akaumba mabillion ya universe.
Yaani hapa nazungumzia maisha baada ya mambo yote ya kinabii...
POLICE DIGITAL FORENSIC and The Russian Roulette Hackers: FBI walipounda kampuni hewa (Front Company) ili kuwakamata wadukuzi (Hackers) kutoka Russia.
Ivanov alianza kufuatiliwa kwa umakini...