Habari wanadamu
Hivi mnalionaje suala la ongezeko la watu duniani, na upungufu wa watu miaka ya mbeleni?
Yani kwa wakati huu watu wanaongezeka lakini tuendako watu watapungua kama tafiti...
Habari wanajamvi?natumai wote niwazima.
kwa mujibu wa imani zetu wapo wanao amini binadamu ameubwa na MUNGU,hii nikutokana na simulizi na vitabu vya dini.
pia wapo ambao wana pinga kwamba kwamba...
Habarini wakuu,
Unajua Dunia imejaa mengi sana, yakustaajabisha na kusikitisha pia. Binafsi nilikuwa nahitaji kujua hivi mtu au watu wasioamini uwepo wa MUNGU huwaga wapo serious au ni jokes tu...
MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI
By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia)
Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku...
ILI UWEZE KUTOA UCHAWI KWENYE MWILI:
Kitu cha kwanza ni kujua kama umelogwa au umelaaniwa na mtu:
Tizama kama kuna mtu ana sababu ya kukuloga. pima kwanza sababu uliyonayo inayoweza kumpelekea...
Kitabu cha ufunuo kinazungumza habari ya siku za mwisho ambavyo mataifa yatajikusanya kupigana na jeshi la malaika wa Mungu likiongozwa na Yesu.
Kwa maoni yangu ni kuwa binadamu watapambana na...
Kufuatia Hali na mambo yalivyo ni Dhahiri kwamba sasa tutakubaliana kwamba kuna watu wachache mno wanacontrol Dunia nzima kwenye aspects zote ikiwemo za maisha. Na lengo sio kupata pesa ila ni...
Leo ukisimamishwa ili ujitambulishe kuwa wewe ni nani, kwa vyovyote vile utaanza kutaja majina yako, ukiendelea mbele zaidi unaweza kutambulisha anuani unayotoka ama nasaba yako. Majina uliyonayo...
Je Yesu alikufa siku tatu kama alivyojitabiria au siku tatu (masaa 72) hazikufika au hakumaanisha siku tatu kamili? ( siku tatu za Yesu zilikuwa za masaa 72?)
Mathayo 12: 40 '' Kwa maana kama vile...
Kuna msemo maarufu hutumiwa na watu wengi usemao hasira hasara huu msemo umebeba mambo mengi. Je kwa siku unakasirika mara ngapi? Na hasira zako hudumu kwa dakika nagapi?
Tafakari kidogo kuhusu...
Do not comment on opinions, be honest.
=======
There is no purpose of living.
We just happen to be in a Goldilocks planet called earth that supports life. We are lucky the dinosaurs went...
Habari wakuu,
Baada ya kuijadili kwa kina thread yetu pendwa Akili ya binadamu katika huo uzi mimi nilikuwa mchangiaji mkuu, niliichambua na kuielezea akili ya binadamu ktk angle ya kibaiolojia...
Salute
Nakumbuka kipindi nipo secondary kwenye masomo yangu pendwa hasa Biology karibia kila terminology nililiyokua nasoma kwenye definition yake ilikua inaanza na maneno “it’s a Greek word”...
Kama Mbinguni kuna maisha mazuri, Kwa nini uombe kuishi maisha marefu Duniani?
Je, hutaki kufa uende huko Mbinguni kwenye maisha mazuri?
Kama Hazina zetu zipo mbinguni, Kulikuwa na haja gani ya...
Nimekaa na kutafakari; binadamu ni nani? Na purpose yake kuu ni kipi duniani? Kwanini kila mmoja anawaza tofauti lakini huwa kwenye same circle, kuanzia birth to death?
Je kama kuzaliwa kwa kiumbe...
Hiyo hali inaitwa déjà vu,
Wanasayansi wameielezea kwa theories tofauti wakielezea inasababishwa na nini. Ila bado hamna jibu rasmi linalokubaliwa na wanasayansi:
Theory mojawapo inaeleza...
Wanabodi,
Mungu na Shetani
Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani。
Kifo cha Ephraim Kibonde kimeibua simanzi kubwa kwa sababu katika uhai...
maisha ya mwanadamu ni kama maua huchanua na kusinyaa, wengi wetu tumezaliwa tukiwa na ndoto kibao za mafanikio katika maisha yetu , hakuna mtu asiye penda kuishi maisha mazuri, kila mtu anatamani...
Habari za jioni wanajukwaa....kama kichwa cha uzi kinavyosema ningependa tujadili mada hii Kutokana na hili swali swali kuulizwa mara nyingi kwenye thread zangu nimeona nifungue uzi wake ili...
Kuna baadhi yetu tumekuwa tukihusisha watu masikini kwamba ni wavivu, huenda hii ilikuwa kweli zama za kale za kuhitaji nguvu na jitahada za kulima ili upate mkate wako wa kila siku (sababu hata...