Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Waandishi wa habari undercover wanajifanya kuwa majambazi wenye dola bilioni moja za pesa chafu zinazohitaji kusafishwa. Wanapata upenyo kwa wanachama wa Afrika wa Gold Mafia na kurekodi mikutano...
14 Reactions
160 Replies
28K Views
Habari nilipata hivi punde kutoka huko Nyamongo, TARIME, Kuna mapambano kati ya jeshi la polisi na Intruders (raia wanaotaka kuingia kwa nguvu) kwenye mgodi huo. Na hadi sasa inasemekana...
2 Reactions
95 Replies
12K Views
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI". kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17. Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/- Pia waweza kupata...
64 Reactions
1K Replies
367K Views
Mkapa ambaye kipindi hicho alikua ndiye Rais wa JMT alilitangazia Taifa kuwa Mwalimu Nyerere ameaga dunia katika hospitali ya St Thomas huko Uingereza ila kwa uhalisia Mwl alifariki siku nyingi...
2 Reactions
169 Replies
39K Views
There are many factors and reasons that lead a person to hold onto their beliefs and personal opinions, even when they contradict certain facts and scientific theories. The most prominent of these...
8 Reactions
88 Replies
3K Views
--- ### Introduction Throughout history, societies have attributed major events—wars, migrations, victories, and catastrophes—to divine will. But does this framing serve to reveal deeper truths...
2 Reactions
0 Replies
463 Views
The Voynich Code - The Worlds Most Mysterious Manuscript - The Secrets of Nature Ni kitendawili cha muda wa taktiban miaka 600 Mnamo 1912, muuzaji wa mashirika ya kale aitwae Wilfrid...
4 Reactions
18 Replies
8K Views
Habarini wana JF, Hadithi za Biblia na Quran zinaeleza Shetani na Robo ya Malaika ndo waliasi mbinguni ila sote tunajionea ni miaka maelfu sasa huyo Mungu muweza anasumbuka kuwazuia na kadri...
9 Reactions
70 Replies
4K Views
JASUSI PAUL KAGAME ALIEITOA RWANDA KWENYE ARDHI YA DAMU (Simba Wa Vita Alieikimbia Rwanda Kwa Mtutu na kurudi kuikomboa Kwa Mtutu). version. 2 Naam Baada Ya Maombi mengi...
11 Reactions
60 Replies
21K Views
Nilikuwa naangalia hii video niliyotumiwa na rafiki ya mmoja. Kwenye video hii inaonesha tangu mtu anafungwa kwenye sanda mpaka anazikwa. Nikajiuliza ni kwa nini waislamu wanazuia wanawake...
18 Reactions
106 Replies
4K Views
Kwanza nimpongeze Hon. D. Trump kwaujasili wa kuiondoa USA katik ufadhili wa WHO. Binafsi naona kama anania ya kufikirisha akili za viongozi wa nchi masikini kutumia vizuri makusanyo yao ya ndani...
0 Reactions
1 Replies
361 Views
Haya maneno yana maana mbali mbali kutegemea na muktadha wa matumizi. Sasa tuache maana zingine zote hebu naomba ufafanuzi wa haya maneno kwenye shughuli za kiusalama (jeshi la polisi, jeshi la...
7 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu amani kwenu, With due respect naomba kujuzwa masalafi ni nani na wahabi ni nani? Ni nini tofauti zao kiimani na kiutamaduni? Je, Wanachangama vipi na Waislamu wengine wa madhehebu tofauti...
3 Reactions
33 Replies
7K Views
Ufisadi mwingine unajulikana wazi lakini kwa kuwa umewatajirisha wanene, wengi wao, mpaka wakubwa wa polisi wanapokea mishahara kutoka kwa haka katajiri fisadi. Haka katajiri kanafumbiwa macho na...
0 Reactions
38 Replies
10K Views
Greetings.... Does it feel that many people do not appear to be maturing on spiritually that they are in a state of disease and in a lower vibrational state? Emotions and feelings can be...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
BANYAMRENGE, WALOWEZI WA KITUTSI NCHINI KONGO DRC AMBAO WANADAI ARIDHI ILI WAANZISHE TAIFA LAO. Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA) Wednesday-30/06/2021 Kilimanjaro national park Kilimanjaro...
14 Reactions
65 Replies
16K Views
Majini ni mithali na hadithi zinazopatikana katika tamaduni mbalimbali duniani. Wengi wa watu hupenda kusikiliza na kusimulia hadithi za majini, ambazo mara nyingi zinahusishwa na viumbe wa ajabu...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Nani mwenye cheo kikubwa? Je, mtu kwa mfano akitolewa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS na kupewa U-IGP inakuwa imekaaje? Je, anakuwa kapanda cheo au kashushwa cheo nani...
17 Reactions
346 Replies
87K Views
Tamaa ya kiongozi imebeba maangamizi yake na familia yake na anaowaongoza,ndio maana kumuombea kiongozi ni lazima.Hata nafasi ya cheo ni vyema kuitambua ni mojawapo ya jaribu. Angalia Daudi...
20 Reactions
39 Replies
13K Views
Wanabodi, weekend hiyooo na kamvua kwa mbali hapa Arusha! Nipo Triple A hapa. Kuna jamaa yangu ananiambia eti wana usalama/TISS hawafahamiani na hawaaminiani kabisa! Yaani kila mmoja ana...
19 Reactions
420 Replies
106K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…