Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Being an Intelligence officer means being a spy. You do the kind of things, like surveillance, and analyzing to help your country. However, there are a lot of myths about being an intelligence...
5 Reactions
46 Replies
11K Views
Tumekua tukifundishwa toka primary kuwa mwaka mrefu una jumla ya siku 366 na ule mfupi una siku 365 na robo(1/4). Sina shida katika mwaka mrefu, tatizo naliona hapo kwenye mwaka mfupi, siku 365...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Mara nyingi katika jamii mbali mbali ambazo hupenda wanyama na kuwafanya rafiki zao na kufanya wengine hata kutembea nao njiani. Ni kwa nini wanaume karibu mara zote hutembea zaidi na mba kuliko...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wa Jukwaa hili wasalamu, Kuna yeyote anayejua sheria za Jamhuri ya Muungano zinasemaje kuhusu kuanzisha PIA ( Private intelligence agency) kwa Africa wenzetu wa SA wanazo na zinafanya kazi...
8 Reactions
37 Replies
8K Views
wana JF ningeomba hapa mnijuze wale mnaoelewa hilijambo kwa undani zaidi manake najiuliza sijui ni utumwa ama nini?, manake siielewi hii, kukuta saa inaandikwa nane(8) lakini inasomwa mbili(2)...
1 Reactions
64 Replies
16K Views
  • Closed
Waheshimiwa nawasalim, poleni na Majukumu, Mimi naitwa Mohamed Edward Malele ni Mkazi wa Mwanza. Waheshimiwa, hii ni mara yangu ya tatu najitokeza hadharani Kuomba Kuonana nanyi Uso Kwa Uso...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu, kama nlivyoeleza hapo juu, nataka tubadilishane mawazo kuhusu watu wenye tabia za phlegmatic, Nimepitia mitandao tofauti ya kisaikolojia. lakini nikakuta kila mtandao unaeleza kwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa hakika nchi yetu Tanzania tunaipenda lakini mahali na hali tuliyofikia ni mbaya. Swala la vita tumeanza kulizungumza kama utani utani kama mtu na mkewe chumbani.serikali nayi msimamo wake...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
G8 Brings Big Ag Colonialism to Africa Corporate food initiative in Africa will be 'a disaster like you can't imagine,' critics warn - Jacob Chamberlain, staff writer Food sovereignty...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Nina swali kwa wale wanaojua historia vizuri. Maana mi bado sijajua kwanini katika Mabara haya ya dunia. Kila bara lina watu fulani wenye asili moja. Mfano Afrika Kwanini asilimia 90% ya bara zima...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Naomba mnijuze hayo meno ya tembo yanatumika kama malighafi ya kutengeneza nini? Au yana kazi gani? Wanapokamata hizo wanazoziita nyara hawaziharibu au huziharibu kwa kificho? Kama hawazihatibu...
0 Reactions
80 Replies
28K Views
1. The average human life is relatively short. 2. You will only ever live the life you create for yourself. 3. Being busy does NOT mean being productive. 4. Some kind of failure...
11 Reactions
16 Replies
5K Views
Picha waliyoiweka kwenye akaunti yao (Wataliban) ya Twitter, inaonyesha Mbwa mdogo wa hudhurungi akiwa na kamba ndogo shingoni. Taliban wanasema kuwa Mbwa huyo kwa jina, 'Kanali' alikamatwa usiku...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Salaam JF! Tanzania hivi sasa kuna staili mpya ya kupata Fedha! Huhitaji kutumia nguvu bali ni kucheza na akili ya mtu. Kila unapopita utakuta tangazo la mganga wa kienyeji na wanaweka na...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Few books have been as influential in understanding African impoverishment as this groundbreaking analysis. Rodney shows the exploitation of the continent committed by the imperial countries of...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Mgiriki = Serikali ya Tanzania na viongozi wake nimewatia mfukoni!===== Nyerere hakuwa na mjadala juu ya hilo kwani alimtia ndani mtu huyo bila kujali yeye ni nani na hatimaye kumfukuza nchini...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Ukifuatilia sana juu ya mauaji ya kimbari huko Rwanda mwaka 1994 utaambiwa waliouwawa wengi ni watusi. Hata kwenye move nyingi zilizochezwa watusi ndio walionekana kuwawa sana. Kwa nini watusi...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nimekuwa nikisumbuliwa muda mrefu na swali hili Hivi huyu mkuu wa majeshi ya ulizi tanzania Aden Mwamunyange si alikuwa JKT? Ssa swali langu ni kwamba ilikuwaje achaguliwe kuwa mkuu wa majeshi...
0 Reactions
70 Replies
26K Views
Hizi ni namba za matapeli wanaopigiaga watu simu na kubrainwash watu kwa stori za alinacha. I Q yako ikiwa na 0.2kb lazima unaswe. 1) 0769354766 2) 0753126969 3) 0757183990 please...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…