Wadau kuna mahali nilikuta hii kitu, kuna habari kuwa dunia inaongozwa na familia (Clan). Familia hizi zilianzishwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita na zina nguvu sana kisiasa na kiuchumi.
Mwenye...
Wadau,
Ni kawaida kukuta wachangiaji wa JF wakipewa mrejesho (feedback) za POSTS, LIKEs, UNLIKES, Quotes nk. Sasa nauliza:
1. Ukikuta mtu kapost 10,000 postings, katika hizo postings ana jumla...
Wanajf nataka kujuzwa kwanini hiitwe BAHARI NYEKU[RED SEA] na isiitwe jina lake la awali BAHARI YA SHAM [SHAM SEA]?kuna Siri Gani Hapa? Na Kwa Nini? Source=RAMANI YA DUNIA [THE WORLD MAP]
Wanajamvi,
Upo ushahidi wa kihistoria kuwa baadhi ya jamii zimewahi kuridhia na kuwatumia binadamu wenzao kama kitoweo Cannibalism - Wikipedia, the free encyclopedia pia kuna matukio...
Habari zenu.
Nadhani sote tunajua kinachoendelea Nigeria, Kenya, Misri, Sudan na orodha inaendelea.
Nchi zote zenye kufuata sheria za kiislam hakuna hata moja yenye amani. Kwanini?
Lengo...
The rule of disinformation:
"Fabrication of false/altenative evidence. Whenever possible; introduce new facts or Clues disigned and manufactured to conflict with opponent presentation as useful...
A new Russian jet fighter, using stealth technology designed to conceal the plane from radar, is being called a "super weapon" by military experts who say that the fifth-generation Russian fighter...
Habari zenu wakuu,
Katika chambua chambua yangu katika pages mbali mbali za internate, nimekuja kugundua kuwa Dunia yetu inaongozwa na group fulani la watu wanaojiita "High masters" chini ya...
Kuna senario fulani ilinitokea mpaka sasa hivi ninashindwa kuelewa.
Ilinitokea kama wiki 2 hvi zilizopita. Tulikuwa 3 tunatembea kuelekea stand ya bus. Tukawa tunapiga mastori ya zamani ya...
Nimeshahudhuria mara nyingi maombezi ya watu wanye kutolewa mapepo kwa jina la YESU na nimeshuhudia kabisa watu wakati wanatolewa wakiongea mambo mengi na wengine kujipinda kama nyoka na mambo...
Kitu ambacho nimejifunza hivi karibuni ni kuwa, media nyingi zinaitegemea kwa karibu asilimia 30 jamii forums kama source yao ya habari na input nyingine za kuandaa vipindi kama vile vya mapenzi...
Wakuu, humu JF nilikuwa napata story kuhusu sayari na nyota (solar system). Ilikuwa ngumu kuelewa kuwa jua letu ni mojawapo kati ya mamilion ya nyota (majua) na dunia yetu ni mojawapo ya mabilioni...
Habarini za muda huu jamani?
Tangu ile ndege ya malysia ipotee ktika mazingira yakutatanisha na dunia ukiri kusumbuka kutafuta bila mafanikio ni swali najiuliza kwamba je, technology ya ulimwengu...
Usafiri wa ungo upo wa aina nyingi, upo usafiri wa ungo unaotumia wanyama, upo usafiri wa kutumia fagio, upo usafiri wa kutumia fimbo, upo usafiri wa kutumia ungo. Wachawi wote wana roho ya...
Mwana JF hutakosea ukisema Mobutu Seseko ni dikteta mbaya kuliko wote kuwahi kutokea katika bara la Afrika. Hata hivyo katika ubaya mkubwa kuna chembe ya uzuri.
Seseko anafaa kuigwa katika...
The news that Aljazeera Tv want to start swahili channel in east africa is disturbing , lets beware with this channel its not the same al jazeera we know, they have created hell in Libya ..a lot...
MYSTERIES ABOUT MISSING GIRLS
Where are the parents of these missing girls, we want to see them? (Wole Soyinka).
"Wako Wapi Wazazi Wa Hao Wasichana Waliotekwa, tunataka Tuwaone?" [Kama Kuna...
Habari wana intelejensia.
Napenda kujua, hii erronous concience inasababishwa na nini hasa, kwa sababu gani zinamfanya mtu awe errornous concience?
Na hili tatizo linatibika?
Asanteni wapendwa.