Nimeona kwamba sasa hivi Dar popote unapo park gari unabidi ulipe.Sasa swali langu ni je fedha hizo zinaenda wapi?Maana sijaona sehemu zenye alama zozote za parking.Je ni kweli kuwa parking collection zote za Dar ni kampuni ya mzee Kigunge?
Je ni kweli kuwa parking collection zote za Dar ni kampuni ya mzee Kigunge?
Hela za parking Dar., zinaliwa na Kingunge na mwanawe kinje.Nimeona kwamba sasa hivi Dar popote unapo park gari unabidi ulipe.Sasa swali langu ni je fedha hizo zinaenda wapi?Maana sijaona sehemu zenye alama zozote za parking.Je ni kweli kuwa parking collection zote za Dar ni kampuni ya mzee Kigunge?
Hela za parking Dar., zinaliwa na Kingunge na mwanawe kinje .. Anaitwa, Kinje1 Kinje au Kinjikitikile, ambaye hafanani na kingunge hata kidogo, (naomba wakapime DnA) ..
Hela za parking Dar., zinaliwa na Kingunge na mwanawe kinje.
Kingunge, ni mjamaa kuliko nyerere, lakini mungu hajamjaaliya mtoto au amemjaaaliya mtoto ambaye mamake ni muhindi (au kwa lugha ya dar) mdosi. Anaitwa, Kinje1
Kinje au Kinjikitikile, ambaye hafanani na kingunge hata kidogo, (naomba wakapime DnA), ndiye anaekula mipesa yote ya parking, of-course kwa mpangilio maalum.
Kingunge ni rafiki mpenzi wa nyerere. na asingeweza kupewa ma-parking system ya mmjini na ubungo kama hana uhusiyano na system. Sasa kingunge, mjamaa, na hana dini, na leo kawa bepari, na ni rafiki mkubwa wa nyerere, kama si fisadi ni nani? jee, hamuijuwi system ni nini?
Sounds like Kinje's SonIwapo kweli unataka kujua ni wapi fedha za parking zinakwenda au zinatumika vipi ni kazi rahisi kabisa. Na iwapo tu unataka kufurahisha baraza ni kazi rahisi vilevile.
Halmashauri zote za Jiji, Manispaa na Wilaya huwa na vikao vya bajeti. Hapo mapato na matumizi ujadiliwa kwa kina na Madiwani.
Aidha vikao hivi ni vya wazi kama vile vya bunge. Hivyo wananchi wanapaswa kwenda kusikiliza na kujua nini kinaendelea katika wadi zao na halmashauri kwa ujumla.
Hivyo basi kama unataka hasa kujua ni wapi hela?(mapato) inakwenda wasiliana na Jiji, na sio kupika majungu hapa.