Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Huwa na kawaida ninapomuona kiongozi anayelindwa kuangalia walinzi wake, huwa napenda kwa sababu nawakubali hao watu kwa umakini wao na hadithi tunazosikia kuhusu uhodari wao. Nawapongeza sana kwa...
7 Reactions
62 Replies
12K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida ni kwamba Binadamu tunapozaliwa tunakuwa na Lugha yetu ya asili ya mawasiliano, licha ya kuwa tunakuwa wadogo, lakini katika udogo huo huo huwa tunawasilia...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
hello members! i trust you are all doing great. What normally lead us into presumptions and make us conclude things differently regardless of being looking at the same elements? lets share this...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni sauti ya Raisi wa Taifa la Marekani ikigonga kuta za maabara inayoelea angani Yani international Space station iliyo umbali wa km 400 kutoka uso wa dunia na inazunguka mile 5 kwa kila sekunde...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Mara nyingi huzuka mjadala wa umuhimu wa lugha ya kiingereza inapotokea Mtanzania kuhojiwa kwa kiingereza na akawa hajielezi vizuri kama wanavyojieleza ndugu zetu wa mataifa mengine ya kiafrika...
7 Reactions
11 Replies
4K Views
Hii ni kozi kabisa niliisoma ikisema kwamba ukiona unapewa jina la babu yako ni imani ya kale kabisa kwamba wanaokufa huwa wanarudi tena na wewe ndiye yule babu au bibi aliyekufa amerudi ingawa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mwalimu Mbobezi wa Saikolojia akiwa anafundisha kuhusu mahusiano, aliwauliza wanafunzi wake. Kwanini tunafokea na kukaripia tunapokuwa tumekasirika? Kwanini watu wanafokeana na kukaripiana kwa...
23 Reactions
40 Replies
5K Views
Ndege ya Urusi iliyofika hivi karibuni Syria ina uwezo wa kupeleleza mamia ya kilometa ndani ya Uturuki ikitokea kituo cha ndege kilichopo Syria Kufuatia kufungwa kwa anga karibu na mpaka wa...
5 Reactions
8 Replies
3K Views
Ile Sayari ya Nibiru au Planet X ambayo wanasayansi duniani wamedai inaielekea dunia kwa kasi ya ajabu na huenda ikaipiga, habari mpya ni kwamba imekaribia lakini pia tukio la kupatwa kwa jua...
4 Reactions
91 Replies
16K Views
Inasemekana Kwamba Kuna Tundu Kubwa linalozidi Kutanuka Kila Uchao Angani na wanazuoni wanazidi kuchomba wengine wakienda mbali kabisa kwa kusema ndilo tundu aliloitia Yesu akipaa zake mbinguni na...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Ndoa nyingi huvunjika, na wapenzi wengi huachana kabla hata hawajafunga ndoa. Kabla ya ndoa kuvunjika na wapenzi kuachana hutokea visa vingi vya usaliti, ukigeugeu na chuki. Mapenzi nini? Mahala...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Is there such as thing as "human nature," and if so, is it accurate to state that it is selfish? Human nature" is an ill-defined concept. By my best understanding, it can be thought of as a...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Nimetafakari kwa kina zaidi juu ya nguvu iliyopo ktk ubaya(nimejikita kutafsiri dhana ya ubaya kwa kadri jamii zetu zinavyoamini) nikaona dhahiri kuwa kwa kiasi kikubwa ubaya una nguvu zaidi ya...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Eti wakuu kati ya KGB, CIA, MOSSAD, MI6 nanyinginyezo ipi inaongoza kwa mambo ya Intelijensia? Napenda kuwasilisha.
4 Reactions
183 Replies
28K Views
Nimefikiria sana juu yetu sisi waafrika kuweza kulipiza kisasi kwa kufanywa watumwa na haya mataifa ya ulaya... Ifikie hatua kabisa Tanzania izitawale kimabavu nchi za ujerumani, uingereza...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Wadau mimi ni mmiliki wa eneo lililo kwenye mradi wa upimaji viwanja ,kwa sasa manispaa imeanza kulipa fidia ambayo wengi wamelalamikia,kumemua hakuna ufafanuzi mzuri kuhusu fidia ..naomba msaada...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Huyu ndie aliaminiwa ni Mungu Mwezi ndio asili ya kuwekwa Alama za Mwezi kwenye Nyumba za Ibada hadi leo hii... ufukunyuzi unaoendelea utaweka wazi kila kitu kuwa Watu wanaabudu Masanamu kwa hisia...
4 Reactions
107 Replies
23K Views
Wataalam kadhaa wa mawasiliano wameonya kuwa application ya Facebook hutumiwa na wadukuzi kusikiliza mazungumzo ya watu muda wote kwa siri kubwa, App hiyo inadaiwa kutumia simu za watu kudukua na...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
25 Cutting Edge Firms Funded By The CIA It's no secret the Central Intelligence Agency has an investment firm that funds startups that could have a big impact for the Agency. If there is a...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Hawa watu hawaepukiki dadadeki, kila mahali wapo, haya sasa wanasema mjukuu wa Bondia maarufu Mohamed Ali aitwaye Jacob Wertheimer Ali ni Myahudi, kwa kuwa mtoto wa Bondia huyo Maarufu Khaliar...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…