Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Nikisoma Vitabu Vya Dini Hasa Biblia... Mungu wa Kuanzia Kitabu Cha Mwanzo Au Vitabu Vya Kale Ni Tofauti Sana kitabia na Mungu wa Agano Jipya. Tabia za KiMungu Alizokuwa nazo Katika agano la Kale...
14 Reactions
2K Replies
102K Views
MUSA KWA MAELEZO YAKE ALIOKOTWA AKIWA MDOGO AKAISHI KWA PHARAO ALAFU AKAWA MKUBWA .... AKAENDA KUWAKOMBOA WAMISRI..... KUKAA KWA PHARAO HUYU JAMAA ALIKUWA ANAJUA MENGI SANAAAAA... NAISI KUNA...
1 Reactions
54 Replies
11K Views
Wanabodi ya JamiiForums, Tanzania ina upungufu mkubwa wa umeme, lakini tukiangalia miaka ya awamu ya kwanza chini ya Mwl. J.K Nyerere, Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa kulikuwa na juhudi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mamlaka ya duniani yanamwakilisha Muumba na sharti yAheshimiwe,ukisema tusitoke nje itakuwa sababu umewekewa nguvu duniani na mbinguni malaika wanajua,sababu umeapa,sasa Why uogope kuidhinisha...
0 Reactions
5 Replies
975 Views
Bahati ilioje waziri was mambo ya ndani mh.Kangi Lugola aliwahi kuwa afisa was ngazi za juu wa polisi atakuwa analijua hili. Polisi wengi wanatumia simu za tochi sasa watazuiaje makosa ya...
0 Reactions
3 Replies
930 Views
Wataalamu wa maswala ya anga wametabiri kwamba ifikapo mwaka 2022 kutatokea na nyota mbili kugongana na kulipuka na kuwa muunganiko wa nyota moja ambayo ni nyota ya "Rednova".Athari yake...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu.. Kuna watu wawili nimewaexperience katika maisha yangu.... Mmoja ni kaka yangu na mwingine ni Dada mmoja aliwahi kuwa bosi wangu.. Watu hawa muda mwingi wamekuwa wakilalamika kuwa...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari zenu tena. Kama kichwa cha uzi kisemavyo, nini kitatokea endapo dunia itaacha kujizungusha ktk mhimili wake na kulizunguka jua ghafla na kutulia tuli, nini kitatokea? Wale wajuao in...
1 Reactions
121 Replies
15K Views
Habari wadau, Hivi Yesu Krisu alipokuwa anawaambia wanafunzi wake/Watu kuwa: "Waacheni watoto wadogo waje kwangu kwa maana ufalme wa mbingu ni wao" Je? 1.Kwani walizuiliwa Kwenda kwa Yesu...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Karibuni sana tena Wazee wa Conspiracy Theories kwenye uwanja mwingine wa kujifunza masuala ya Mwanadamu kwa mtazamo wa kidunia. Najua humu kuna watu wana dini zao, so nitawaomba tuache pembeni...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari zenu wapendwa wangu wa humu ndani, ninahitaji kufahamishwa kuhusu jitendo cha baadhi ya nguo kuzalisha umeme, kwamfano unaweza kuchukua shuka au nguo yoyote usiku gizani halafu ikatoa...
2 Reactions
25 Replies
7K Views
Wanatujengea nyumba nzuri sana,wanashinda juani na kula huwa juu yao chai na Chakula cha mchana,watoe humo humo kwenye 15,000 na 8,000,ni sahihi? Mh.Lukuvi tunakuomba uungurume juu ya hili...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
A 79-year-old retired officer of the CIA, Bill Oxley, has made a series of stunning confessions since he was admitted to the Mercy Hospital in Maine on Monday and told he has weeks to live. He...
45 Reactions
225 Replies
46K Views
Kuwa Kiongozi c jambo dogo tena kuongoza mamilioni,ni mpango wà Mungu. Tunaona viongozi Kama Yusuph waliota ndoto na wakajua,sasa enyi waanndishi andaeni makala muwahoji marais tujue wAlikuwa na...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, inapotokea mtumishi amefuata taratibu zote za kuomba uhamisho, yaani ameomba nafasi ya kuhamia sehemu kupitia kwa mwajiri na akajibiwa kupitia kwa mwajiri kuwa nafasi ipo na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
The purpose of death is to end “old” life and so to allow “new” life to arise. This is a “religious” reference but It applies to all aspects of living reality, the seed has to die, to allow the...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamani mwenzenu nimekulia airport-tabora na tulikuwa tunaendea vhombo vya kuchezea vilivyotoka kwenye Ndege ila cha ajabu ni muoga kupanda Ndege sijui kwanini,huwa najiuliza ikipatikana fursa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
UMEONA HIYO PICHA HAPO JUU HIYO NDIYO MILK WAY GALAX AMBAYO TUNAISHI SISI IKIWEMO DUNIA NA SAYARI NYINGINE NANE, Katilati ya hiyo galaxy yetu ndipo kuna ile black hole (shimo jeusi tiii ) ambapo...
1 Reactions
114 Replies
13K Views
Habari wakuu, Nipo katika mchakato wa kufungua biashara mahali, lakini nikiwa katika mchakato huu kuna jamaa aliniambia, "aisee kuwa makini na chumaulete mtaa huu" Nahtaji kujua yafuatayo, Ni...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Siku nyingi nimekuwa siamini kama kweli kuna uchawi katika Tanzania hii, achilia mbali huko kwa wengine. Nimekuwa siamini kwa sababu makosa yote hapa nchini yana adhabu zake isipokuwa la...
0 Reactions
435 Replies
63K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…