Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Use your head now. Angalia hiyo ndege, chini imebeba makombora. Wasikilize watoa ushuhuda hapo kua ndege Hii ya Pili, Sio ya kimarekani kama ilivyo dhaniwa mwanzo, na haikua na Alama ya...
6 Reactions
220 Replies
38K Views
Katika gazeti la Raia Mwema la jana tarehe 13 mwandishi wa makala na mchambuzi wa siasa za ndani anayishi Uskochi amendika kuhusu tahadhari aliyopewa na vyombo vya Usalama vya huko aliko kuwa kuna...
13 Reactions
130 Replies
43K Views
The 1889-90 Brussels Anti-slavery Conference: Mkutano Uliozalisha Haya Yanayoendelea Afrika Ya Leo Wajuvi wa mambo wana msemo kwamba “Historia ni mwalimu mzuri wa muda”. Lakini wengi wetu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Vyombo vya habari nchini Uturuki vimewaorodhesha raia 15 wa Saudi Arabia ambao mamlaka nchini humo zinawashuku kuhusika katika mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi. Khashoggi raia wa...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu wa JamiiForum, bado nitaendelea mpaka nimalize sheria au kanuni kuu kumia ambazo zote hizo zinaelezea uhalisia wa Akili na Ulimwengu kwa pamoja. Kuna sheria nyingi sana...
6 Reactions
5 Replies
6K Views
Practical Explanation ( For Example ) :- `1st of all can you tell me every single seconds detail from that time when you born ?? ( i need every seconds detail ?? that what- what you have thought...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Wakuu, hapa pameniwea pagumu kuelewa. Lakini naamini katika jukwaa hili, wapo watu waliobobea na waelewa historia ya biblia kwa kiwango cha juu mno kisicho na shaka. Biblia ninayoisoma inataja...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
Nakutakieni Heri na Neema za Mungu wakuu. Kama kichwa cha habari kivyouliza je mwanga ndio wenye mwendo kasi kuliko vyote? Vipi kuhusu umeme? Vipi kuhusu sauti? Vipi kuhusu roho? Vipi kuhisu...
1 Reactions
118 Replies
22K Views
Tukisoma maandiko matakatifu tunaona hapo zamani kulikuwepo uwezekano wa kujua taarifa nyeti za mbinguni kama ile ya shetani kupokonywa mamlaka na kufukuzwa na kuwa imeteuliwa cabinet nyingine ya...
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Credits; ¶Spies against Armagedon. by Dan Raviv. ¶An Eye For An Eye". CBS News ¶One day in September by Simon Reeve Christopher Cyrilo Mwaka 1977 kwa mara ya kwanza katika historia ya miaka 29...
18 Reactions
50 Replies
11K Views
Kifo fumbo ambalo ni kutokuwa na majibu ya haraka sahihi na kwa sababu hawa jamaa hawarudi na hata kama wakirudi hatuwaamini. 1:Wahindu (hinduism) Hakuna cha mbingu wala jehanam, Mtu akifa...
4 Reactions
82 Replies
12K Views
Unaweza usiamini lakini kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na BBC, umetaja watu wenye uwezo wa kuona na kutafakari mambo kwa haraka zaidi duniani na Kabila la Himba kutokea Namibia limetajwa kama...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau kuna dada yangu, ni mwislam kwa dini,mara nyingi amekua akiumwa kichwaa sana na wakati mwingne anaongEa yakimpanda lakin hua hajitambua akiwa nomal ,je haya madudu kuna watu wanaweza...
2 Reactions
132 Replies
40K Views
Hivi hawa ndugu zetu zimo kichwani?! Kuumiza watu wengi ili kupata njia ya kutawala?! Ama kweli, kuongoza chama kama disco ni hatari...sasa hivi wanatumia "muziki" unaopendwa kwenye masikio ya...
0 Reactions
129 Replies
18K Views
ki biblia, Israel ni nchi ya ahadi waliopewa waisrail. hivyo ni nchi ambayo haikuwa yao apo mwanzo.. je, kabla ya kuwa utumwani nchini misri. hawa waisrael walikuwa wanaishi nchi gani.. na je...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Wadau, Roho ya mwanadamu hutiririka na kuenea ndani na nje ya mwili wa mwanadamu.Kila mwanadamu ana roho,na roho ya mwanadamu sio sehemu ya utambulisho wa mwanadamu bali kila roho ina utambulisho...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Kabla VIP hajazuru eneo husika, RSO, DSO na "Advance party" wanapaswa kuhakikisha kila kitu kipo OK. Kama wameshindwa kujua kama mradi ulikuwa tayari kuzinduliwa wanaweza kweli kujua tishio dhidi...
18 Reactions
29 Replies
6K Views
Je unajua kuwa mwaka 321BK mfalme Constantine alipitisha sheria ya kwanza ya jumapili huko Roma? Halafu miaka michache baadaye katika mwaka 325BK hasa 366BK kanisa la Roma likaifanya “jumapili”...
2 Reactions
61 Replies
16K Views
Hapo nyuma nilielezea kuwa Tanzania government procurement is very complicated na complication yenyewe inaletwa na mambo ya rushwa. Serikali wanawajua GE, Wartsila, CAT, Mits, nk. Hizi kampuni...
5 Reactions
1K Replies
220K Views
Katika habari mpya kuhusu sayansi ambayo inakuwa kwa kasi na ina uwezo wa kuathiri raia wasio na hatia-na kusababisha hatari kubwa ya afya,ukiukwaji wa haki,uhuru kupotea, na upotevu wa...
7 Reactions
57 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…