1.Kuna chakula/tunda unalolipenda zaidi? Jiwekee zawadi, kwamba ukiamka asubuhi tu cha kwanza ni kula chakula hicho/ tunda/ chokleti nk. Hii itakufanya Utoke kitandani pale tu utakaposhtuka...
MUME WANGU KINYESI KINAMTOKA KILA SAA NA NDOA INA MIEZI MIWILI
Naomba unisiadie Kaka maana sijui nafanya nini[emoji24][emoji174], niko kwenye ndoa ina miezi miwili sasa. Mume wangu kabla ya...
Usizidharau ishara hizi 8 za mwanzo za kisukari
Kisukari kinaweza kujijenga pole pole katika mwili wako wakati mwingine bila hata wewe kufahamu nini kinaendelea.
Ni mhimu kwamba unapata elimu...
Shida ilinianzia jana jioni nikatanguliza choo cha kawaida baadae ikaanza choo chenye makamasi yenye damu shida Itakuwa Nini au ndio Dalili za kuvuta hizi wiki hii nimekuwa nikisumbuliwa sana na...
Wazaramo habari zenu.
Sisi wa bara Tulivyokuja huku pwani ya Dar-es-salaam ndio tukajua hii mboga inaitwa dagaa mchele.
Sawa tunajua kwenye utafutaji kigetogeto lazima ushawahi kula sana Dagaa...
JINSI YA KUEPUKA KUNUKA MDOMO
Kuwa na harufu mbaya mdomoni ni kitendo kinachoweza kuathiri maisha ya mtu kimahusiano si kwa mpenzi tu bali marafiki na jamii kwa ujumla. Pia kuwa na harufu mbaya...
Kwa heshima na taadhima napenda kuelezea utaratibu muhimu wa kujieleza kwa daktari ili kurahisisha upatikanaji wa tiba kwa usahihi.
UTANGULIZI
Ni ukweli usiopingika kuwa wengi wetu hatujui ni...
Habari:
Jf doctors na wadau wengine..
ningependa kuuliza kuhusu mabadiliko ya mwili wangu,Kama kuna mmoja wenu anafahamu.
Tangu juzi kila asubuhi na mchana mida Fulani, yananitoka maji maji meupe...
Nahitaji kujua dawa ya asili ya vidonda kooni kwani tonsil nilishatoa ila vidonda bado vipo.
Kuta za koo zimerika hivo napata maumivu, nimeenda hospital lakini hawaeleweki tiba zao.
Au hata ya...
Habari zenu wakuu??
Nimeona nianzishe Uzi huu ili kupeana up dates kuhusu vyakula/dawa asiri na matibabu yake
Kwani nina amini hata kabla ya hospital's kulikuwa na matibabu ya asiri lakini yame...
Hili suala nimekuwa nikilisikia kwa muda mrefu kuwa matumizi ya mionzi kama vile X-Rays kwenye uchunguzi wa kitabibu ina madhara ki afya, uhalisia wake upoje?
Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra).
JUMANNE NA Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye...
Habari za hapa ndugu zangu.
Mimi nina changamoto moja, mke wangu anasumbuliwa na mafua yasiyopona na koo linawasha tangu mwezi wa sita, nifanye nini kumsaidia?
Naomba ushauri kwa anaye fahamu...
Tulipoteza mtoto wa miezi 8 iliopita, mke wangu wakati ananyonyesha alikuwa hapati hedhi (najuwa ni kawaida ) ila hivsasa hanyonyeshi miez 8 sasa ila hedhi imegoma kutokea kabisa.
Imesemwa kuwa...
Kisonono (gonorrhea) ni nini?
Kisonono ni ugonjwa kati ya magonjwa ya zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao hukuwa na kuzaliana kwa haraka katika sehemu...
Tafadhali mjulishe mkeo kuhusiana na hili, , Hii ni tahdhari muhimu kutoka wataalamu wa afya [ LUTH ] kwa wanawake wote wawe watoto wachanga, wasichana, mabinti, wanawake, akina mama; saratani ya...