Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Wakuu habari zenu. Najua kuna madr humu, nahitaji ushauri wenu, cas sijui ethics au pricedures za wataalamu wa afya nisije shauri vibaya. kuna kijana tunafahamiana ni HIV+, japo tofauti na ndugu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi... Nimetamani kuuliza jambo hili kwa muda kidogo, ni kuhusu hizi dawa ambazo wansema zinasaidia katika masuala mazima ya uzazi ikiwemo kutibu magonjwa kama vile PID, FUNGUS,. UTI...
1 Reactions
11 Replies
822 Views
Naomba kuzijua dalili na tiba za ugonjwa wa gauti. Habari zenu wana jamvi, Nina mgonjwa anayesumbuliwa na miguu, sehemu za magoti zinavimba na kupelekea miguu kuuma sana. Nadhani ni Gout...
4 Reactions
241 Replies
133K Views
Napata wakati mgumu kuelewa kwa nini baadhi ya watu na vyombo vya habari vinasema TOTO AFYA KADI imeboreshwa au kurudishwa. Inaonekana wengi hawajui nini kimetokea, labda acha niwakumbushe kidogo...
4 Reactions
6 Replies
908 Views
Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha baba yangu anasumbuliwa na huo uvimbe, umekua ukimdhoofisha afya yake, tumejaribu mara kadhaa kumpeleka hospital lakini matibabu anayopewa yameshindwa...
1 Reactions
5 Replies
724 Views
Habari Wana jukwaa! Kuna Binti anapitia changamoto ya mwili wote kuhisi maumivu ya kuwaka moto muda wote, miguu kuuma, mikono kushika ganzi na mabega kuumia lakini pia na meno yanamuuma ivyo vyote...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Kwanini ugonjwa wa Hernia kwa kiswahili au kwa maana nyingine watu wana uita ugonjwa wa NGIRI?? Utasikia jamaa Ngiri imempanda🙊
1 Reactions
0 Replies
347 Views
Wakuu, naomba kuuliza: Je, kuna madhara yoyote yanayoweza kutokea unapokula mfululizo karanga mbichi, mbegu za maboga, muhogo mbichi, na vyakula vinavyosadikika kuimarisha mfumo wa uzazi wa...
2 Reactions
1 Replies
392 Views
Wadau, yupo ndugu yangu ambaye anasumbuka kwa muda sasa na amejaribu vipimo sehemu nyingi. Ilianza kidogo kidogo sasa inamsababishia shida, hawezi kulala vizuri. Kichwani anasema anahisi kama kuna...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za asubuh nimejaribu kutengeneza juice ya kabichi kwa ajili ya vidonda vya tumbo,sasa baada ya kusaga naona ni nzito niongeze maji au nakunywa ivyo ivyo,msaada tafadhali
0 Reactions
18 Replies
10K Views
Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi Baada ya kusikia hizi stori kwa muda, nikaamua kuingia mitaani kufuatilia kinachoendelea hasa maeneo mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aliyekwisha tumia dawa za kichina au hizo za kiarabu kutibu matatizo ya tumbo ,maumivu ya miguu nakadhalika ninaomba anishauri! Zipi zinafanya kazi vizuri na kwa uhakika,za kichina au za kiarabu...
0 Reactions
4 Replies
804 Views
Nchi 20 zenye idadi ndogo ya vifo vya kina mama wakati wakujifungua Africa (2020), pia inaitwa maternal mortality rate (MMR) ni njia nyingine ya kupima maendeleo ya nchi. Namba baada ya jina la...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Nimeshauriwa muda mzuri wa kutahiri watoto ni wakati wa baridi na sio wakati wa joto. Je ni kweli? Kwa hapa Dar es salaam ni mwezi gani mzuri wa kutahiri mtoto( mwezi wenye baridi). Asante sana
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Chunusi ni tatizo la ngozi linalosababisha vipele na madoa, na mara nyingi huwa na maumivu. Changamoto hii inaweza kuathiri watu wa umri wowote na huwa inasababishwa na mambo kadhaa. Sasa, hebu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna miaka ilikuwa mtoto akionekana mbishi wa kula, amezubaa zubaa au goigoi sana wazazi wanaambiana inawezekana ana minyoo na mara moja atapewa dawa za minyoo bila hata kumuona daktari, ila...
1 Reactions
1 Replies
460 Views
Naitwa Dr. Elizabeth Kilili, a.k.a. Mama ZOAZOA, ni mkurugenzi wa Grace Products Limited. Leo nina somo fupi ambalo nataka tuangazie afya ya mama pamoja na mtoto, nikizungumzia kitu kinachoitwa...
1 Reactions
1 Replies
939 Views
Course gani inahusika na mambo ya chanjo ( vaccine) ? , but nina diploma ya nursing nahitaji kusoma level ya bachelor ila nimeajiliwa halmashauri nahitaji kujiendeleza. Kama utakuwa na uelewa...
1 Reactions
0 Replies
335 Views
Wakuu nauliza hivo na sababu!! Homa ya uti wa mgongo au meningitis
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Kwanini pindi mtoto wa kiume anavyozaliwa huwa anaangalia chini? ila mtoto wa kike anakuwa anaangalia juu?
0 Reactions
0 Replies
403 Views
Back
Top Bottom