Sijui siku hizi nimekuwaje wakuu.
Yaani ngono hainipi ule utamu niliokuwa naupata zamani kwanzia 2023 kurudi nyuma yaani kwanzia mwezi wa 10 hadi huu wa 11 nimesex mara 22 lakini niliyoifurahia...
Mimi sio daktari ila nasikia ni kianzilishi kikubwa sana cha magonjwa ya moyo.
Vijana wenzangu ukifikia hali ya kupiga nyeto mpaka mara tano kwa siku basi ujue kwamba una hali mbaya sana.
Kama...
wadau habari zenu,dah kiukweli nimewamiss sana ukizingatia loong tim almost six months sijawa active due to the reason nilikua maternity sasa nimerudi rasmi,mzizi mkavu,rosweeter,precious,mwali...
Wakuu, lips zimeungua watu wanasema ni pombe kali lakini nimeacha bado hali iko hivi.
Najiuliza mbona kama pombe kali wengi wanakunywa na hawaungui ivi
Ukiona nyanya ikiwa hivi usipende kula mbichi au kutumia kabisa ,Kuna wakati inakuwa imezuliwa na Nyoka,Popo au aina ya wadudu fulani
Follow magical power
Habari za majukumu wakuu!
Ndugu yenu na changamoto Hapa,
Kwa mara ya kwanza jan nimegundua mtoto wangu wa kiume wa miaka minne hana korodani yani pale kwenye mfuko wake hapana kitu, nmevurugwa...
SHUKRANI NI MBEGU YA FURAHA
Tunaishi kwenye dunia yenye wingi wa vitu vizuri ambapo kwa wingi huo hutufanya tuendelee kutamani zaidi na zaidi kitu ambacho ni rahisi kusahau vile tunavyomiliki...
Salamu Wana jukwaa...
Nimekuwa nikisumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa vidonda vya tumbo... Kwa hakika vinanitesa sana.
Kuna raia mmoja ameniambia niende kwa WAKOREA, Wana dawa za uhakika japo...
Yani hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno ,vinapoanza panaanza kuwasha kwanza halafu vikishatokezea kama vipele ila vinakuwa kama mtu kaungua na moto hv yaani ukiminya...
16 Signs That May Indicate HIV
Within a month or two of HIV entering the body, 40% to 90% of people experience flulike symptoms known as acute retroviral syndrome (ARS). Here are 16 signs...
Kumekuwa na maneno kuwa mtu aliyevunjika labda mbavu, mguu au nyonga akipelekwa hospitali labda akaongezewa kiungo cha chuma kumsaidia kundelea kutembea kama alivyokuwa, ni kweli akifariki dunia...
Neno Crown sio geni Sana , nahisi umelisikia. Ni aina ya meno bandia ambayo hutengezezwa maabara ili kuzibia jino / mapengo kwenye meno halisi yaliyotoboka au kutoka/ kuvunjika ili imusaidie mtu...
Wakuu naombeni msaada nikikojoa au mkojo wa mwisho unauma halafu nikiminya uume kuna vitu vinatoka vina kama rangi ya njano.
Kuna kitu nilifanya ijumaa
Habari zenu waungwana,
Jamani eh! Nina tatizo naomba someni uzi wangu mpaka mwisho na mnisaidie naomba mnisaidie tafadhali.
Nilikuja hapa kuomba ushauri miezi kadhaa nyuma kwa tatizo langu la...
Habari wakuu,
Nina changamoto yapata mwezi sasa ulimi wangu umechubuka ulianza upande mmoja na umeenea kiasi mpk kwa mbele kabisa, nilienda hospital nikapewa cipro ya kumeza na Quadrajel ya...
Wataalam
Nimekuwa nikijiuliza hivi imeshindikana kweli kufanya surgery ya kuondoa mafuta toka kwenye tumbo? Mi naona jinsi yalivyojirundika sehemu moja tumboni kama mnavyotuaminisha kupitia...
Siku tano baada ya dawa ya Uriphytol inayoelezwa kukinga na kutibu tatizo la kutanuka kwa tezi dume kuanza kuuzwa rasmi, dawa hiyo imeadimika katika maduka ya dawa mkoani Dodoma ilikoanza kuuzwa...
Habari wakuu,
Leo tena nawaletea ujuzi mwingine ni mdogo sana,lakini kwa vile inawasumbua sana watu
Ugonjwa wa bawasiri maarufu ndonda kwa sasa naona imekuwa changamoto sana kwa watu wengi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.