Habari wataalamu.
Msaada tafadhal... Wiki ya tatu hii pembeni ya mapaja karibu na uke kumetokea utando fulani ambao unawasha sana... Yaan najikuna mpaka nahisi maumivu..hadi kunatengeneza weusi...
Zimepigwa marufuku ziko aina tano,Niko kwene kihaice nimesikia kwa mbali hebu waliosikia vizuri ziwekeni hapa watanzania wajue huku kijijini kwetu tunajinunulia tu
Salaam wana JF.
Naombeni kujulishwa kama kuna mabadiliko ambayo huwa yanajitokeza kiafya endapo mke wake akishika mimba, mfano mwanaume kuumwa ,kujisikia kichefuchefu,kwa ujumla kuwa na dalili za...
Habari za majukumu wakuu. Samahani kuna tatizo linanisumbua kwa muda wa mwez m1 sasa, Ninapatwa na joto la ghafla mwili mzima na kutokwa na jasho jingi hali hyo inapojitokeza, maranyingi hutokea...
Mwenzenu mikono imeanza kuniuma siku za karibuni lakini siyo muda wote bali kuna wakati inauma halafu baada ya muda haiumi sijui tatizo ni nini, naombeni ushauri wenu wakuu!!
Ni kwamba nikilala halafu nikakunja miguu. Kwa kuibebanisha yaani mguu mmoja juu mmoja chini yaani nitaweweseka sana kwa kupiga makelele . Halafu nikilala kwa kuangalia juu kama. Wanavyolazwa...
Jamani ninawashwa sehemu ya haja kubwa, hasa kila nikitoka kujisaidia
Tumbo nalo linanhuruma usiku kucha yaani ni wiki ya pili sasa, choo nacho
ni shida naweza kukaa pale kwenye Tundu nikaishia...
Dokta kanipima...Kasema nina UTI....Ila sasa kaniandikia ciproflocaksin 1. Erythromycin dozi nzima na Doxy dozi nzima. Kwa utafiti wangu hii dozi ni ya Gonorrhea kama ni UTI kwa nini hakunipa...
Jaman hivi ni kitu gani huweza kusababisha uwiano wa ukuaji wa kichanga tumboni na umri wa mimba kutolingana? Maana mtu miezi Tisa imetimia lakini amejifungua mtoto kama njiti.
Mara kadhaa watoa huduma za Afya hapa nchini wamekuwa wakishutumiwa kwa kutoa huduma chini ya matarajio ya wateja wao yaani clients. Inawezekana kabisa kukawa na ukweli katika hili au pengine...
Ndugu zangu, habari....
Nataka kupunguza uzito wa mwili wangu,kiufupi nina uzito wa ziada wa kilo takribani 20 hivi...
Sasa katika pita pita zangu kwenye website ya Kaymu nikakutana na dawa...
Habari ndo hiyo wana MMU naomba mnipe uzoefu wenu.
Mara nyingi ninapocheza mechi za ugenini lazima nitumie zana (condom) na ku-boost ubongo kidogoo either kwa value 2 nikimix reds au safari 1 tu...
Nimejaribu Kuangalia Watu Wa Rika Tofautitofauti Na Kugundua Kuwa Wanawake Wanakua Usiku Na Mchana Na Mwanamke Hukua Usiku Tu Ndo Maana Wanawake Wanaweza Kuolewa Mapema Na Wanaume Waliowazidi...
natumai wazima jaman
nimekuwa nikisumbuliwa na kizunguzungu,mara ya kwanza nilijua ni typhoid kwan nilikuwa nayo.bt now natumia dozi ya typhoid lakini kinanipata.lakini siku nikishinda na njaa...
Habari,mwanangu ana umri wa miaka mitatu sasa lakini amekuwa akisumbuliwa nakifua kisichopona kwa muda mrefu.tatizo lilianza akiwa na mwaka mmoja na miez mitatu alipotumia dawa za minyoo.akaanza...
Ni dawa-lishe ya ajabu inayotumia teknolojia ya kisasa kwa kuhuisha mfumo wa kinga mwilini na kuimarisha afya ndani ya wiki nne tu. Wagonjwa wa ukimwi, kansa, kisukari, malaria sugu, figo, presha...
Habari wana jamii forum, polen na majukumu mbalimbali.nilijifungua mwaka 2011 na baada ya kujifungua nilifunga kizazi.tangu hapo sijaona siku zangu, jambo ambalo linanipa maswali sana.nilienda kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.