Hello Mwanajamii!
Ni matumaini yangu kuwa unaendelea vema katika kazi zako za kila siku. Katika utendaji bora wa kazi unafuatana na utendaji bora wa ubongo pia. Ubongo wa mwanadamu hufikiri...
Dawa zinazo tiwa ndani ya matunda na mboga zinaweza kudhuru Mbegu za uzazi Kwa wanaume ambao wanao kula viwango vya juu vya Hayo Matunda na Mboga. Na kulinganisha na nusu manii kuhesabu ya watu...
Habari za leo jfm doctors..nina tatizo la polycystic ovary doctor kaniandikia duphaston nlipofika nyumbani nikaanza MP.
Je? Naweza kuanza dose au mpaka nimalize Mp?
TAKWIMU
*Wagonjwa milioni 22 ifikapo h2030 ikilinganishwa na milioni 14 katika mwaka 2012. WHO
*Asilimia 80 wanafariki dunia kutokana na kuchelewa kupata huduma ya matibabu. OCRI*Watu 44,000...
Mke wangu anapata tatizo la kushikwa na misuli mara kwa mara wakati mwingine anaweza kustuka usingizini na kukuta misuli inavuta hasa ya nyuma ya miguu chini ya goti, begani na wakati mwingine...
Habari za sahizi wakuu.
pasipo kupoteza muda naomba niende moja kwa moja kwenye ishu husika
Nina dada yangu amezaa mtoto mmoja,baada ya kuzaa akaji ingiza kwenye uzazi wa mpango. njia anayo...
Kwa wale ambao huenda hawatapata nafasi ya kusoma gazeti la Tanzania daima la leo (7/02/2013), kuna makala nzuri kuhusu mada tajwa hapo juu.
Makala hii ktk gazeti husika imeandikwa na NASRA...
Mimi ni msicha wa miaka 26 .Nilienda hospita kwa kusumbuliwa na tumbo.
Nilipopimwa nikaambiwa nina endostrium na polycystic ovaries..nimetumia dawa lkn bado
Naomba msaada wenu tafadhali
Habari zenu wakuu..
Nina mtoto wa jamaa yangu anaumwa ugonjwa wa Sickle cell na ndio kwanza ana miaka mitatu. Anahangaika sana kushindana na crisis za uvimbe na maumivu makali sana anayopata...
Ni matumaini mpo salama
Kwa muda wa wiki 2 sasa nimekuwa nikikojoa Mkojo wa njano sanaaaa. Nikinywa maji mengi unjano unapungua kwa muda tu then Unarudi.
Jf doctors, tatizo hili linasababishwa...
Poleni na majukumu waungwana, mwanangu kwa sasa ana miezi sita. Ila amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kutokewa na vipele vinavyotunga usaha, wakati mwingine vibalango. Naombeni ushauri au tiba...
Kuna jambo limekuwa likinitatiza kidogo. Ni kuhusu hizi dawa za kuzuia virusi vya UKIMWI kwa wasichana waliobakwa! Sasa kama mtu kishabakwa maana yake tayari ana maambukizi ya virus halafu anapewa...
Dar es Salaam. Unywaji pombe kali kupita kiasi, umetajwa kuwa chanzo cha upofu, huku uhaba wa madaktari wanaotibu ugonjwa huo, vifaa tiba vikielezwa kuwa kikwazo.
Mbali na unywaji pombe, pia...
KWA UFUPI
Mbali na unywaji pombe, pia kuvaa miwani ya urembo au ya kusomea bila kupata ushauri wa daktari, ni miongoni mwa sababu za kupunguza uwezo wa macho kuona.
Dar es Salaam. Unywaji...
Habari wana JF,
Dada'ngu anasumbuliwa na tatizo la uvimbe ndani ya kizazi. Amefanyiwa upasuaji mara 2 akiondolewa uvimbe, na mara hii uvimbe umerudi tena ameambiwa kama ataenda hospitali tena...
Maana Hospitali ya Temeke hadi saa hizi saa 11:50 usiku toka saa 10:00 usiku hakuna Daktari anaewaudumia wagonjwa je hakuna usimamizi au tathmini ya sensa Temeke hapa sielewi kwanini Daktaria wa...
Nilikuwa nasumbuliwa na tatizo la kuumwa na meno kwa muda mrefu.. Na nimetumia dawa nyingi bila kupata ahueni yoyote.
Ila juzi kati nilisoma thread moja ivi ya Mzizi Mkavu nikaona jinsi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.