Polen na majukumu wadau,mwenzenu ninapatwa na maumivu makal wakati wa kwenda haja kubwa,haja inatoka ngumu yenye makamasi mengi na humegukameguka na mara chache huchanganyana na damu kwa mbaali na...
Naomba msaada nina mtoto wa miezi mitatu na wiki moja huwa ana tokwa na jasho miguuni na mikononi hata wakati wa baridi ....Naomba kujua kwa wale wataalamu wa magonjwa ya watoto tatizo kuwa ni nn
Habari wadau,naomba ushauri wenu nina ndugu yangu anasumbuluwa na kuvimba miguu kuanzia kwenye macho ya miguu kushuka chini inakuwa kama matende vile,tumepima vipimo vyote majibu hayana ugonjwa na...
mimi ni kijana wa miaka 23,nilizaliwa nikiwa na afya nzuri na sikuwa nasumbuliwa na magonjwa
nilipoingia shule ya sekondari nilisumbuliwa na vidonda vya tumbo kuanzia 2006 mpaka 2010 ambapo...
Matunda na mchanganyiko wa mboga ya umbi jani ni moja ya maajabu makubwa yafanyayo kazi ndani ya mwili wa mwanadamu ya Kurudisha (boady renew), kujenga mpya (boady restore) na Kuhuisha (boady...
Wasalaam ndugu wapendwa!
Kwa ndugu wakristo bila shaka mko katika pilika pilika za sikukuu ya Pasaka! Bila story ndefu leo napenda niseme kidogo kuhusu ugonjwa wa PUMU (Asthma) na tiba ya...
Naomba kufahamu juu ya hili ili na watu wengine wajue pia kwa anayefahamu kama kuosha kwenye uke kwa kutumia sabuni kuna madhara? Je kusipooshwa kwa sabuni vp kuhusu harufu hasa kama ametoka...
Mama yangu anaumwa sana miguu na kiuno anapata maumivu makali sana. Alipimwa KCMC akaambiwa mifupa kwenye uti wa mgongo imelika ndiyo maana anapatwa na maumivu ya viungo na hakuna dawa ya kutibu...
Ndugu yang kila akipata ujauzito ya kwanza miezi 3 tumbo linamuuma anablid alafu ndo mimba inaisha hivyo, Ya pili nayo hivyo hivyo kapata mimba ghafla tumbo linamuuma anablid hospital walipima lkn...
Jamani Tafiti Zinaonyesha Kuwa Kuvaa Boxer Au Chupi Kwa Wanaume Kuna Madhara Sana. nguo izo kwa sbb zinabana na penis inapocmama inashindwa kucmama vzr ivyo kufanya mishipa yake ambayo ni laini...
Habari wana jf,
Nahitaj msaada wa kitaalamu mi kijana nna umri miaka 26 nna girlfrnd wangu ana miaka 21 tumekuwa pamoja kwa miaka mitatu sasa ila kuna tatizo analo mpnz wangu huyo.
Akifikia...
Heshima yenu wakubwa,
Ni week ya pili sasa nahisi maumivu kwenye Pum**** japo sio sana kwa mbali tu. Jana katika kujipapasa nahisi nina vigorori vitatu; kimoja kidogo viwili kawaida..
Je, hii...
Karibuni wadau, na watalaamu..
Je ni utalaam up unaotumika kunyolea ndevu kwa wembe kwa kutumia mkono au mashine yake na je ni kwel usababisha vipele..
na je kunatofauti yoyote kunyoa kwa wembe...
Kaniuliza swali nini maana ya Michango kwa mwanamke,binafsi sikuwa na jibu ila baada ya kumdodosa akanambia anaugua Michango,akina mama ni tiba gani mnamshauri mama mdada Huyu atumie ...msaidieni
wakuu habari za humu nilikuw napenda kufaham kikubwa kuusu hili swala kwann mtu akinywa pombe anatapika...???
Binafsi natumia hvy vinywaji yan pombe ila cha kushangaza nikinywa pale pombe...
Habari wana jamvi?!
Naomba kujua dawa ya kuondoa uchafu wa masikio. Tatizo langu ni kuwepo kwa vitu vigumu/uchafu ambao najaribu kila siku kuutoa au kuupunguza bila mafanikio .nimeshatumia mpaka...
Mtoto wangu alichomwaga sindando ya quinin mwezi january bt imemletea maumivu ya mguu na baadae akawa hawezi kukanyaga chini kisigino kinamuuma... yuko dar kwa ajili ya easter tu.. naomba msaada...
Wana jf ninamdogo wangu anasumbuliwa sana na sikio linauma sana na wakati mwingine kuziba lakini halitoi uchafu wala maji. ametumia dawa nyingi za antibiotics kutoka hospitali mbalimbali bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.