Kwa aliye na matatzo ya uume mwembamba,Nina dawa inayoongeza maumbile ya umbo la uume,ni dawa ya mitishamba iliyo na uwezo wa hali ya juu,inaufanya ume kuwa mnene na kukufanya uinjoy mapenzi kwa...
Wiki iliyopita nilizungumzia kuhusu Paracetamol, ambayo ni maarufu kwa jina la Panadol, tuliona kwamba dawa hiyo inapotumiwa kiholela, inaweza kusababisha madhara kwa viungo vya mwili kama vile...
Vyakula vya watu wengi wanaoishi katika miji hapa Tanzania ni vile vinavyotokana na wanyama kama nyama, maziwa, samaki, kuku, mayai, dagaa, soseji na vyakula vilivyotengenezwa kwa kutumia nafaka...
Dawa za Antibiotics
Wagonjwa wanaotibiwa na dawa za viuavijasumu ama antibiotics mara kwa mara huenda wakakabiliwa na hatari ya kupatwa na aina ya pili ya ugonjwa wa kisukari ,watafiti...
Habari jf.
Nina mdogo wangu toka jana anaharisha maji maji yenye makamasi yenye rangi ya kahawia ametumia erthromine (sijui kama nimeiandika sawa) bila mafanikio Leo akatumia dawa iliyoandikwa...
Ndugu zanguni hivi juzi niliishiwa nguvu na baada ya hapo kuanzia siku hiyo hadi leo siwezi kuongea sana pumzi zinanibana. Sasa wengine wanasema naumwa moyo wengine wananiambia ni presha nini...
Wakuu naomba mnisaidie kila ifikapo saa nane usiku mwanangu wa kiume wa miaka saba anapiga kelele sana kama kuna mtu anayemvamia.
Naomba mwenye msaada wa nini kisababishishi anisaidie. Ili...
Wadau heshima yenu,
Nina tatizo japo sio la muda mrefu sana, katika maeneo yetu ya uzazi wanaume. Moja ya sababu ninazohisi ni kunywa mara kwa mara dawa za...
Ndugu,nimependa ku-post hii taarifa kutokana na kuwa mmoja wa mashuhuda wa jinsi dawa hii inavyotibu. Kwa kifupi usikate tamaa kwa ugonjwa ulionao,hakika kuwa na imani na dawa hizi kutoka FOREVER...
Habari wana jf,
ninaswali kwamba je, mama ambaye ananyonyesha mtoto (labda miezi 3, 5, mpaka 8) akiwa anafanya mapenzi na mumewe kipindi hiki anam bemenda mtoto nikimaanisha mtoto hatakuwa anakua...
Ni taarifa ya kusikitisha, kushangaza na kuudhunisha lakini ni kweli
Kwa katika kizazi hiki cha dotcom cha sayansi na teknologia, kizazi cha Ipad, smartphones ambapo karibia kila mtoto mpaka...
Ndugu wanajukwaa habari za kazi? Natumai wote mu wazima. Nina mpenzi wangu ambaye anasumbuliwa sana na maumivu kuanzia kwenye magoti kushuka chini .
Tatzo ni la muda sasa kama mwezi, anapata...
naomba majibu, kwa sababu wapo yanayotoka kwa kasi, yapo ya kutoka kwa kasi ya wastani pia kuna nyingine huchuruzika bila kasi yoyote. Je utofauti huu unamaana yoyote ktk uzazi.
Wakuu naomba msaada maana nimezungumza na watu kadhaa kuhusu hii njia ya kuzuia mimba kupitia tarehe lakini inanipa shida maana kila mtu ananitajia tarehe zake na wa mwiso alinambia ni siku ya...
UKAVU katika midomo ni tatizo, ambalo huwakabili watu wengi bila kujali jinsia wala umri.
Pamoja na kuonekana ni la kawaida, lakini hukosesha raha na kumfanya mtu ajihisi kupoteza mvuto wake...
Wakuu wasalaam,
Tafadhali naombeni kujuzwa sababu inayopelekea tatizo la mtoto kuzalia akapatwa na shda ya kupumua vyema na kulazimu kuwekewa oxygen haraka ili kumsaidia kupumua.
Na je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.