Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid
​
KWA UFUPI
Alisema kwa mujibu wa takwimu za kawaida zinazopatikana kutoka katika vituo vya kutolewa huduma za afya , zinaonyesha kuwa...
Kaniuliza swali nini maana ya Michango kwa mwanamke,binafsi sikuwa na jibu ila baada ya kumdodosa akanambia anaugua Michango,akina mama ni tiba gani mnamshauri mama mdada Huyu atumie ...msaidieni...
Msaada tafadhali Nina mke na ndoa yetu ina miezi saba sasa, tangu mwaka jana nimepata tatzo la kufanya tendo la ndoa na kutoa mbegu ambazo hazina rangi ya kawaida(nyeupe) bali zinaonekana na rangi...
Ndugu wana jamii forum mie nina kaka yang mkubwa tu huwa miguu yake inapenda sana kuweka moto ndani yake,sasa munaweza kunisaidiaje juu ya hili tatizo.
Naomba msaada jaman ninshida au tatizo la kupoteza faham kwa sekunde kazaa alafu faham inarudi. Nini shida na kama kunashida nn ufumbuzi wa hili tatizo
The secret to staving off diabetes? Eat four eggs a week and plenty of cheese and yogurt
+3Regular consumption of eggs cut the risk of developing type 2 diabetes by a third, according to a new...
Nina mtoto wa kike ana miaka karibia mitatu sasa,tatizo lake kubwa ni mifupa yake haina nguvu kabisa!miguu kama inapinda kwa ndan!vidole vya mikono ukivinyoosha analia sana,magoti kama yamevimba...
Habarini zenu!
Jamani niwaombe msaada wa tiba ya tosess zimembana mke wangu hawezi kula wala kunywa kitu ni shida sana! Pls naomba kujua chanzo cha ugonjwa huu! Pia mwenye kujua tiba ya kudumu...
nina tatizo la Kutokwa jasho sana,....lakini pia Jasho linaharufu kali na mara nyingi huleta rangi makwapani katika shati hasa jeupe,ni njia gani za kuondoa tatizo hili?
habari wana JF doctor, naomba kujulishwa na wataalam wa hapa kuhusu P2 dawa inayotumika ndani ya masaa 72 iwapo umefanya unprotected sex siku za ovulation,je hii dawa ikitumika wakati tayari una...
Tatizo hili la unene uliopitiliza kuliko inavyo hitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini. Njia rahisi na inayokubalika ya kuweza kugundua kama mtu ni mnene...
Ni matumaini yangu kuwa upo vizuri kiafya na kiakili pia unaendelea vema na kazi za ujenzi wa taifa. Mimi nashukuru ninaendelea vema na kazi zangu za kila siku. Leo napendelea kushirikisha jamii...
Nile vyakula gani ili tumbo langu lipungue yaani lirudie hali ya u flat kama zamani
mazoezi huwa najaribu lakini nashindwa kuendelea nayo kiukweli
msaada juu ya hili maana linanikera sana wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.