Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Kumezuka tabia sugu Ya hivi karibuni kwa madaktari na manesi kupiga picha faili la mgonjwa lenye taarifa Za mgonjwa ila zina misdiagnosis Au mismanagement kwa muktadha wa kuonyesha kuwa daktari...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, Naomba mnisaidie kwa anayefahamu dawa ya kuzuia kutapika nyongo kwa mama mjamzito.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naombwa kujuzwa, nitawezaje kumtambua mtu ambae amefariki/amefikwa na umauti?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A devastated mother has told how her daughter died when her metabolism "exploded" after taking diet pills she bought on the internet. Tragic Eloise Aimee Parry, 21, "burned up from the inside"...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A devastated mother has told how her daughter died when her metabolism "exploded" after taking diet pills she bought on the internet. Tragic Eloise Aimee Parry, 21, "burned up from the inside"...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Naomba kufahamu madhara ya kiafya yanayoweza kumpata mtu hasa Mwanamke ambaye anaweza akaa hadi siku mbili au tatu bila kuoga na hata kupiga mswaki? Haijalishi ni sababu gani inamfanya anashindwa...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Mke wangu anaujauzito wa mwezi mmoja huu ni ujauzito wake wa3 !Ila cha kushangaza unampeleka puta kwa kutapika mfululizo hadi amekonda kwa kutokula chakula cha kutosha kwa wiki mbili sasa ,hivi...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wakuu! Nimekuwa na tatizo la kusisimka mwili mpaka kufikia kupandwa na hasira za ghafla pindi nionanapo vitundu vidogovidogo. Vitundu hivyo vyaweza kuwa katika picha, rangi katika wadudu...
0 Reactions
52 Replies
17K Views
Jamani ninasumbuliwa na tatizo la Dushe kutokudinda vizuri tangu 29/2 Mwaka huu nimeoa na nina mke na ninashindwa hata nianzeje kumuambia tatizo langu, nimebaki ku mkwepa kwepa. Nimekwenda...
3 Reactions
31 Replies
7K Views
Hakuna kitu kinanipa shida kama kwenda kupima afya yangu na kuijua afya yangu, nimejitahidi sana kujipa moyo lakini nashindwa kabisa kupata ujasiri wa kupima, nakumbuka mara ya mwisho pale Mbeya...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Habari zenu wapendwa,,tafafhali naomba kujua tiba ya pimples usoni maana uso wangu una mafuta halafu una pimples ambazo ukizikamua zinatoka mafuta.....Kama kuna mtu anaejua tiba yake anifahamishe...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari. Naombeni kujuzwa kwa anayejua. kama kuna uwezekano wa kujiunga chuo bila kuwa na cheti cha form four, na kama ipo ni vyuo gani vinavyotoa huduma hiyo?, manake nimeskia tetesi kuwa Kuna...
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Ninawasalimuni wana jamvi wote. mimi nawaomba wataalam wa afya wanisaidie kwajambo hili, mkewangu hana kabisa hamu na tendo la ndoa tangu miaka 2, tatizo hilo lili mwanza mwaka1 baada ya kumwoa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba msaada wa mawazo yenu na ushauri kwa ujumla.mm huwa na sumbuliwa na kichwa sio mara kwa mara nilifanya vipimo mbali mbali lkn kichwa kilionekana hakina tatizo ndipo nilipo andikiwa kwenda...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mke wangu amejifungua kama siku kumi hivi zilizopita. Je, yatupasa tukae siku ngapi bila kuingiliana?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Je CHLORAMPHENICAL EYE DROP Inaweza kuua mtoto aliyeko tumboni wa wiki 32 ikitumiwa na mama mjamzito?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mke aliyefanyiwa operation ya apendix anapaswa kukaa muda gani hadi kuanza tena kufanya mapenzi na baada ya muda gani anaweza kushika ujauzito!!!?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mtusaidie kuna ukweli katika hili? eti kuna mtu kanipa habari kwamba kunywa dawa ya kienyeji ya alovera inasababisha ugonjwa wa Ini ...ni kweli jamani?
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Back
Top Bottom