Naulizia dawa ya Upara (uwaraza) kama ipo?

pole mimi mwenyewe ninacho kaka ila kuna dawa ipo India kama una jamaa unamjua yupo kule njoo pm nikupe jina tuagize wote
 
Tuone hapa hapa hilo jina labda na bongo zipo, tumia mafuta ya nywele ya zoa zoa, mie mwenyewe nna mwezi na naona nywele zinaota taratiibu sasa hivi huwezi jua mpaka unisogelee
 
kuna supplement utatumia mkuu na lotion flan iv....taratiibu utayaona matokeo...kama vp nipm
 
kuna supplement utatumia mkuu na lotion flan iv....taratiibu utayaona matokeo...kama vp nipm

Nimeku quote mkuu nijulishe hiyo "supplement na lotion flan hivi" nawezaje kuvipata.
 
Mkuu kuna mafuta ya nywele yanaitwa t44z, yako hapo Dar es Salaam, ukiwauliza kina mama wanafahamu maduka yake, yatakusaidia sana
 
Kuna dawa ya jamaa1 hivi wa Tabora imechanganywa na asali,mdogo wangu wa miaka22 aliitumia kwa miaka2 kipara kikapotea kabisaaaaa.Ila bei yake ipo juu kidogo so kama upo tayari ni pm ili nikuunganishe nae akupe contact za huyo dr.
 
Wakuu,

Msaada maana naona nina dalili za kupata kiwalaza na nina miaka 20 sasa kuna dawa yoyote?

Nawasilisha


Sasa mkuu hukusema kama unataka ya nywele ziwe nyingi...?.

Au unataka nywele zichelewe kuota ziwe chache kiongozi...?.

Hebu kabisa nielewe kabla sijakupa maelekezo.

Thanks.
 
Jikubali tu na para lako hamna jinsi au uende Ui gereza ukafanyiwe kama Rooney. Hao wanaokuambia wafate pm ni waongo utalizwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom