Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Kaka zangu ndugu zangu nimerudi tena,nimeenda hosptal nimepima wingi wa damu upo normal,nimepima pressure ipo normal, nimepima sukari ipo normal, mkojo pia upo safi, malaria hakuna nimepima hadi...
8 Reactions
90 Replies
6K Views
Habari wakuu msaada wenu nimepima cholesterol ipo juu kidogo. Nini nifanye kupunguza cholesterol au tiba yake ni nini?
1 Reactions
9 Replies
731 Views
Ďr. Julie Makani Dr. Lisokotala Dr. Gilbert Sanga Dr. Ally Nah Dr. Angela Mwakimonga Dr. Cyprian Ellas Mayagi Dr. David Isaya Dr. Kache (Magu) Dr. Masangu (Masanza Kona)
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Msaada wenu dawa ya bawasiri kwa aliyewahi kupona. Nina bawasiri mwaka wa 8 haiumi, haiwashi na wala haitoi damu ila nikubwa nisaidieni dawa ipi nitumie ipone
5 Reactions
51 Replies
4K Views
Kama heading inavyojieleza hapo juu mm ni kijana mwenye umri wa miaka 29 nilipimwa afya tangu 2012 nikaambiwa niko postive na nikaanziishiiwa dawa sasa inaniwia vigumu kupata mke wa kuoa kwa...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habar wakuu hivi huu ugonjwa kwa mwanaume huwa unapona kweli na je Kuna mashart yoyote ya vyakula vyakutumia na ambavyo hutakiwi kutumia
1 Reactions
2 Replies
320 Views
Habari za asubuhi wana JF, Kama kichwa cha thread kinavyojieleza, kuna ndugu yangu wa kiume mwenye umri wa miaka 30. Yeye ni mhitimu wa chuo kikuu miaka 5 iliyopita, alisomea Bachelor of Human...
2 Reactions
11 Replies
677 Views
Habar wakuu nikipima sukari asubuh ya saa mbili Iko 6 na hapo nakua nimekula chakula saa mbili usiku,je kiwango Hiki nisawa? Kwa mwezi huu wa ramadhani nikija pima saa kumi na moja jioni nakuta...
0 Reactions
2 Replies
363 Views
Ndugu yangu wa karibu sana anatatizo la HIV muda mrefu sasa ila tatizo lake CD4 zimeshuka sana zipo 18 na uzito 45 hawez kutembea mwenyewe na pia anasumbua sana kula chakula Je ni dawa...
2 Reactions
155 Replies
34K Views
Habari zenu ndugu zangu naomba kwa anayejua anisaidie. Mwezi uliopita nilipata ajali na kwa bahati mbaya nilivunjika mvupa wa mkono karibu na viungio katika bega sasa nina mwezi bado mfupa...
1 Reactions
11 Replies
652 Views
Habari, ficha ID yangu plz[emoji120] Karibia miaka 6 Sasa nina tatizo la harufu mbaya ya kinywa hata nipige mswaki mara tatu kwa siku, bado hii hali inaendelea, na nimejaribu mara kadhaa kwenda...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Grace Magembe amesema watu 281 wakiwemo watumishi wa afya 64 waliokuwa wametangamana na wagonjwa wa Marburg mkoani Kagera, wametoka karantini wakiwa salama. Amesema...
1 Reactions
2 Replies
325 Views
TERATOMA ni aina mojawapo ya ugonjwa ambapo nywele, meno na aina nyengine za rushing kuota Mahali pasipo kawaida Kwa mfano mwanamke mwenye ugonjwa huu anaweza akatokea kwa kitu mfano meno...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Je Wewe Ni Mwanamke Unaesumbuliwa Na Chunusi Sugu Kwa Muda Mrefu Uso Wako Umeharibika Kwa Chunusi Kubwa Na Ndogo Na Zinakufanya Ukose Kujiamini Kusimama Mbele Za Watu.... Si Hivyo Tu Pia...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi...
17 Reactions
159 Replies
5K Views
Habari zenu wakuuu hope mko poa sana. Leo nimeamua kuja na mda tajwa hapo juu naandika ukweli wa asilimia mia moja kuhusu hawa dada zenu na ugonjwa wao wa UTI unavyo tutesa. Nianze moja kwa moja...
11 Reactions
112 Replies
17K Views
Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi...
13 Reactions
68 Replies
3K Views
Habari Wana JF, Naomba msaada Mwanangu anatokwa na vipele vingi sana na vinazidi kuenea mwili mzima (vidogo vidogo) mpaka anakuwa mwekundu kwa kujikuna mara kwa mara. Nilienda pharmacy walinipa...
2 Reactions
78 Replies
5K Views
Allergy Unakula nyama unapata vipele unakunywa juice flani unaamka namikwaruzo unavuta sigara unapata rashes, n.k.
2 Reactions
9 Replies
429 Views
Wakuu, Kuna madhara yoyote ya kiafya mtu anaweza kupata anapotumia hii Microwave ya kupashia chakula na Mambo mengine, naomba kujuzwa hili. Natanguliza shukrani🙏
2 Reactions
14 Replies
804 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…