Ninasumbuliwa na tatizo la "polymyositis " tatizo hili limenitesa kwa miaka mitatu sasa ni mateso makubwa Sana.
Nimekua nikitumia DAWA kutoka zake nilizopewa na madaktari kutoka Muhimbili...
Habari Wana JF,Kama kichwa Cha habari hapo juu,Tulimpeleka jirani yetu Ambaye alipatia changamoto kidogo ya Afya na kumpeleka General hospital hapa Dodoma.
Nilichokiona ni Hawa madaktari...
Habari wakuu
Uzoefu: Nimeishi na mwenza mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi tukiwa katika mahusiano ya muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 (2014-2019), katika kipindi chote hiki tulishiriki...
Jipu ni maambukizi ya bakteria kwenye ngozi yanayoonekana kama chunusi kubwa iliyojaa usaha. Huanza kama uvimbe unaoonekana kisha hujazwa usaha, pia linaweza kusababisha maumivu makali.
Kitunguu...
Habar wana Jf
Leo nimekuja kutoa ushuhuda jinsi nilivyopona vidonda vya tumbo kwa kutumia bamia narudia mara 2 ni kiboko ya vidonda vya tumbo.
Nimeteseka kwa muda sana nimetumia dose za gharama...
Rafiki zangu nimerudi tena nimeenda hosptal nimepima vipimo wakaniambia nina damu nyingi ambayo ni 17.1 amenambia ndio chanzo naumwa na kichwa pia najiskia vibaya,naomba ushauri kuipunguza damu ni...
Nataka kufanya mazoezi ya kukimbia ili nisiende kuchangia damu,nipeni na njia nyengine nitumie ambayo ntapunguza wingi wa damu mie naogopa kwenda kuchangia damu
Kupevuka kwa Yai (Ovulation)
Ovulation (kupevuka kwa yai) ni pale yai moja au zaidi yanaachiwa kutoka kwenye moja ya ovari (mifuko ya mayai) yako. Hii hutokea karibia na mwisho wa muda ambao...
Habari zenu wana jamiiforums
Nimeleta mada apo juu katika kujiskia vibaya na kuumwa na kichwa nilienda hosptal katika vipimo doctor alinambia nina damu nyingi ambayo ni 17.4 akanishauri...
Kama umewahi kupewa huduma au kutibiwa ndani ya hospitali ya Bugando toa ushuhuda wako ulitumia mda gani ili kupata huduma na hali ilikuwaje kipindi unasubilia huduma ndani ya hospitali hiyo
Na...
Habari zenyu wataalam,
Nakuja kwenu kuomba ushauri na msaada wa changamoto inayonikabili miezi karibu sita sasa.
Nimekua nikishiriki tendo la ndoa na mademu tofauti tofauti, katika utofauti huo...
Wanajamvi Jana nilileta mada hapa kwamba nasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwezi Sasa yapata licha ya kumeza dawa za hospital.
Kuna mdau amenishauri kwamba maji ya moto ni dawa ambayo watu wengi...
Wanajamii, ikiwa kama kuna mtu anafahamu sehemu ambayo naweza kupata kipimo kizuri cha uchunguzi wa Tumbo au Vidonda vya Tumbo. Naomba anifahamishe, inaweza kuwa Dar au nje ya Dar.
Nasikia kuna...
Kiukweli nahitaji kama kuna dawa au njia ya kuacha huu mchezo maana umenikaa akilini sana nikiwa faragha na demu lazima nitest na kidole akikaa kimya najua huyu tayari lazima niombe.
Nimekua na...
Wakuu habari za asubuhi kwetu sote, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu juu ya uwepo wa dawa ya Kuchua Maumivu ya SALIMIA kama bado ipo na upatikanaji wake kwenye Maduka ya Dawa...
Kuna madai mengi kutoka hizi sanitarium clinics kwamba wanaweza kutibu kansa aina zote na kisukari aina zote Ila binafsi simfahamu mtu yeyote aliyekuwa na magonjwa haya akatibiwa akapona. Mwenye...
Habari za muda huu ili swala lipo serious kidogo na sio masihala wala utani kumekuwa na mambo ya kiduanzi mtu akileta swala la serious kwenye uzi raia kuleta masihara
Back in the point mwanangu...