Mwanangu Kavimba Fizi Ana Mwaka Tatizo Nini?

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
942
566
Hana Homa Anaharisha Kiasi Kila Mtu Anakuja Na Maneno Yake Wengine Wanasema Nimpeleke Kienyeji Akapasuliwe Hayo Mau Vimbe Nipo Dilema
 
Elders
Pregnant women
Children
Are considered as special groups in medicines. Unapoona tatizo la kitaalamu kimbilia Hosp haraka iwezekanavyo. Utakuja kuua mtoto,mjamzito au Mzee kwa kukimbilia Jf upate ushauri ambapo utapata ushauri maandazi na ushauri wa ukweli. Be careful.
 
Usiende kwa mganga wa kienyeji mkuu, unaweza kukuta ni kuota kwa meno huko labda, lakini ni vyema ukaenda hospitali kabisa atibiwe na dawa apewe
 
Back
Top Bottom