Kwanza niombe samahani kwa yeyote atakayekwazika na yalioandikwa au yatakayoandikwa kuhusiana na thread hii.
Nimekuwa nikisikia lawama zikitolewa kwa msimamizi wa mgonjwa pindi mgonjwa...
Hello doctor and wanajamii forum natumaini mko salama kabisa, labda niende straight to the point, mimi nina mpenzi wangu ambaye alikuwa nje ya nchi kimasomo, ameludi wiki tatu zilizopita, ila...
Wakuu kuna ndugu yangu amepata tatizo la kuvimba sehemu mbali mbali za viungo vya mwili. Baadhi ya vidole, magotini na cha ajabu uvimbe unahama mara Kwa mara.
Akivimba goti la kulia, anavimba na...
Tumbo langu linajaa gesi na kunguruma,nikienda kujisadia kinachotoka ni upepo pamoja na kinyesi cha kukatakata ambacho kinaambatana na makamasi.
Baada ya kupimwa nikaambiwa kuwa nina vidonda vya...
Habar saa Hz wanajamii forum. Mm nikijana mwenyewe miaka 27 nmekuwa nikisumbuliwa na tatizo la miguu na mikono kupata moto kwa mdaa mrefu sasa nmeenda hospital nikapewa vdoge vinaitwa neuron...
Wana jamii wenzangu, za kazi.
Nimekuwa na tatizo la kula kupita kiasi na bila kushiba. Nimepima minyoo lakini sina. Na nimerudia mara kwa mara niko sawa tu.
Hali hii inaninyima raha. Huwa sihisi...
FAIDA ZA TANGO
1. Kuzuia kisukari, kuboresha mfumo wa damu na kuondoa kolesteroli mwilini.
2. Chanzo kikubwa cha Vitamin B.
3. Kusaidia kutunza ngozi.
4. Kuongeza maji mwilini.
5. Kukata hangover...
*OFA YA MASSAGE YA MGONGO BURE- DAKIKA 15*
*Happiness Massage Services* inatoa ofa kwa wale wenye matatizo ya mgongo watafanyiwa Massage ya Mgongo *BURE.*
Tafadhali kama una tatizo hilo na...
Za leo.
Husika na kichwa cha habari kama hapo kinavyosema,
Mimi nina zaidi ya miaka mingi Sinywi maziwa ni kinywaji ambacho nimejitahidi kukinywa ila nimeshindwa kabisaaaaa.....nikinywa natapika...
Pamoja na kuwa na ujauzto,mwez wa pili sasa, maziwa yake madoogo. Kama ndo yanachomoza,hamna dalil ya kukua sana. Akilala na mgongo kama unaona madoogo. Ni wa 1992. Je,kuna tatzo hapo?
Wakuu, Kichwa cha habari chahusika. Meno yote (magego) yanauma sana, hadi uso umevimba. Nikiswaki natema damu tupu. Nimeshaenda Hospital lkn Bado, wamenipa hydrogen peroxide. Je ni dawa ipi nitumie?!
Naomba kujua kama kuna madhara yoyote ukifanya mapenz ukiwa na vidonda vya michubuko ya ajali? mana kuna mtu kanambia nkinjunja basi vidonda vitachelewa sana kukauka
Salam zenu wadau.
Kwa wanaoelewa kusoma hichi kipimo. Hapa inaonyesha ni Positive au Negative. kuna mstari wa kufifia upande wa Patient na mwingine unaoonekana upande wa control. Baadhi ya watu...
Nimepimishwa HIV/AIDS kwa lazima aisee.
Kweli huku si Tz
Jamani nipo hospital, kakidonda kamenitoka mdomoni kwa mbaali nikahisi ni homa za usiku.Ss kuja hapa nimepimishwa hadi ngoma hatariiii...
Habari madocta
Nimepewa hiyo dawa baada ya kugundulika nina PID.wakati wa vipimo iligundulika nina ujauzito pia.kuna ndugu yangu kaniambia wajawazito hawaruhusiwi kutumia hiyo sindano.je zina...