Kuna madhara gani ukifanya mapenzi ukiwa na vidonda vya ajali?

Mwamba028

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
4,546
3,549
Naomba kujua kama kuna madhara yoyote ukifanya mapenz ukiwa na vidonda vya michubuko ya ajali? mana kuna mtu kanambia nkinjunja basi vidonda vitachelewa sana kukauka
 
First to reply.....

Ngoja ambao wanakulanaga wakiwa na maumivu ya vidonda vya ajari wakuje.....

NB; Ajari yoyote haina kinga....
 
Havijauma vizuri hivyo kama hadi mawazo hayo unayo we nenda kanyooshe viungo tu
 
Kuna haraka gani ya kufanya mapenzi ukiwa mgonjwa?

Ndiyo utachelewa kupona na hatimae vidonda kujaa usaa kwa muda mrefu...

Cc: mahondaw
 
mkuu kuna uwezekano mkubwa sana wakuoata magonjwa ya zinaa kama vidonda hicyo vitakua sehemu za siri

hata kama havutakua sehem za siri ikiwa mmoja wenu ni muathirika na ana vidonda ambavyo bado haviko hali nzuri namanisha kukauka,na mwengine ana michubuko akigusana na vidonda vile upo uwezekano wa kuambukizwa ugonjwa

my take: subirini mpone vidonda vikauke kisha fanyeni as much as you can
 
Kuna haraka gani ya kufanya mapenzi ukiwa mgonjwa?

Ndiyo utachelewa kupona na hatimae vidonda kujaa usaa kwa muda mrefu...

Cc: mahondaw
sawa mkuu lkn ni wiki ya 2 ss na vingine vimeshakauka bdo km 2 havjakauka fresh

btw kitachosababisha kuchelewa kukauka ni nn haswa? nahitaj kujua tu uhusiano mkuu
 
mkuu kuna uwezekano mkubwa sana wakuoata magonjwa ya zinaa kama vidonda hicyo vitakua sehemu za siri

hata kama havutakua sehem za siri ikiwa mmoja wenu ni muathirika na ana vidonda ambavyo bado haviko hali nzuri namanisha kukauka,na mwengine ana michubuko akigusana na vidonda vile upo uwezekano wa kuambukizwa ugonjwa

my take: subirini mpone vidonda vikauke kisha fanyeni as much as you can
viko mguuni mkuu, na sio vikubwa kiivyo
 
Back
Top Bottom